Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Mrembo, wewe changua pakwenda. Sisi wazee hatutoki kwa chama hiki, ndo wenye chama
hahaha ndo nshafika niko CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo, wewe changua pakwenda. Sisi wazee hatutoki kwa chama hiki, ndo wenye chama
Hii observation yenu ni ya kijinga kuliko zote. Kwangu mimi hakuna mtu asiejua siasa kama kikwete. Kwanza katika uongozi wa kikwete ccm ndo imepoteza majimbo mengi kuliko yote, kashfa zilizosababisha aunde upya baraza la mawaziri, ccm ipoteze mvuto mpaka yeye mwenyewe ametamka ccm inaweza kushindwa uchaguzi 2015, sasa kujua kwake siasa kuko wapi. Peleka ujinga huko
Upinzani bado ni wachanga kupewa nchi hii!
kwa ushauri wangu popote pale ulipo mh zitto kwabwe (act wazalendo) naomba umchukue huyu nguri wa siasa mh lowasa. hakika nakwambia chama chako kitakua sana. zingatia sana ushauri wangu maana huyu jamaa anawafuasi wengi. sina ziada!!
wewe baki huko huko CCM mama....ungejua wewe ndio chachu ya mabadiliko ungeyapeleka huko lakini hujajitambua bado
Na bado haujajua thamani yako
Unakosea kusema watoto wake sema mtoto wake Kinjeketile au KINJE
Mako nae mwongo? mtoto wa rais kua front line kwenye fierce battle? Labda pakiwa Shwari