Kwa janga hili wanalochuma CCM tunaweza kula wote tukiliangalia hili in long run, wanaweza kufanikiwa kumtuliza Lowasa kwa sasa akatulia ila October atakaposhinda Membe ndio mziki part two utakapoanza kwa sababu upinzani hawatakubali na kataa yao yaeza kua na mashiko kwa sababu Membe hana uwezo wa kuwachallenge upinzani watakaokua wamepewa nguvu na team Lowassa, na wakati huo huo CCM washazoea usultani kuachia madaraka hawatakubali ndio tutaona ya kwa jirani walipomtosa Odinga, itakapotokea hali kama hiyo hawa wenzetu wanapanda ndege na familia zao habari tutaipata wananchi wa kawaida.. naunga mkono mkuu
getamycine alichosema either wamkate na Membe au wamrudishe Lowassa ili kuua hizi team na kurudisha umoja wa chama.