Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

So it seems JK had been playing us with his friend Lowassa all along.Sneaky JK.

Haya wajumbe wa Lowassa washahamia kwa membe, kweli njaa zitaua watu. watu wanajiapiza kujiua kumbe hizi njemba ni waarabu wa pemba..,


Watanzania tunalilia maamuzi magumu, yakichukuliwa tunaanza kulalamika.
 
Ni hataari mkuu na mimi imennibidi ni log in maana ni tabu sasa zile nyuzi tamu tamu zote zimetiwa key.

jf inazidiwa ukiruhusu hao guest waingine...ni kupiga pini tu...
 

Unatumika sana kijana, umepewa kiasi gani na Lowassa? Haya nenda kajisaidie ulale baada ya kumwaga kinyesi chako chenye harufu kali
 
Jamani mnaofatiliana kwenye TV kikao kimeahirishwa mpaka kesho au kimeahirishwa kwa muda tu?
 
Watanzania tunahitaji elimu. The same fisadi wa richmond ametufilisi sahv tunamlilia
 
Mkuu narudia tena kukuuliza utapenda tuvunjiane heshima? na mimi naweza kukuita vyovyote lakini naomba usikimbilie kwa Mods mara ya pili hii nakujibu kiustaraabu kama utapenda twende upendavyo sawa.

Karibu sana.

hahahahahhaha....mkuu mbona unapanic?

Kosa ni nini hapo? nimekuuliza tu swali Ustaadh? nijibu tu ustaadh acha kupanic
 
Mhh....mara hii 3 bora tayari?

3 bado na kikao kimesitishwa kwa muda kuna shughuli nyingine inaendelea ukumbini itakapomalizika ntawa update msiwaze sana leo hadi kieleweke, ila UKAWA tayar wameshapata kiti cha urais coz hao 5 waliobaki hawana mashiko n wakusukuma 2 kama unapush mlev vile
 
Mkuu narudia tena kukuuliza utapenda tuvunjiane heshima? na mimi naweza kukuita vyovyote lakini naomba usikimbilie kwa Mods mara ya pili hii nakujibu kiustaraabu kama utapenda twende upendavyo sawa.

Karibu sana.
Hahaha,maalim wewe ndo moh'd?
dogo msamehe huyo raia,
 
mkuu una maana gan maana naona kila post unapost hii kitu?
Mkuu ajui kama jf ndio forum yenye habari za haraka na uhakika za Tanzania ikiruhusiwa tu jf server itajaa na kuzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…