Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto jiandae kung'oka ACT-Wasaliti mwenye chama anakuja nae si mwingine ni EL
Hamna ubaya mimi kuwaitwa Mohd ni jina zuri tu kwangu lakini usilete kejeli nimemuleza kiungwana tu.
Nyomi ya watu imejaa Nyerere square wakiimba "Tuna imani na Loawsa..."
Yaani kama kuna maadamano ya UKAWA .
Kwa hiyoTujadiliane kwa lugha nzuri kuniita mimi chizi usijione hizo lugha unazijua peke yako na mimi nikirudisha kwa lugha hiyo tutachafua jukwaa.
We shetani wa ubaguzi!
Migiro'Amina Salim'Magufuli,Makamba,Membe Nimeambiwa six hours ago. Mbona siwaoni hapa JF?
Tatu bora,Membe,Makamba na Amina
Migiro'Amina Salim'Magufuli,Makamba,Membe Nimeambiwa six hours ago. Mbona siwaoni hapa JF?