Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mleta mada ulitakiwa usiwe value-laden at least for this sake. Unaonekana kuonheAkuongeza chumvi sana huku ukionekana kuumia sana lowassa kucharazwa
 
Yaani tangu jama nimekesha na huu uzi tuu...ngoja nitoke kidogo nnje
 
sina imani na hii kitu inayoendelea naona kiini macho tu hapa tuwe makini kwa kweli wa tanzania wenzangu politics is a dirty game
 
Watanzania tunahitaji elimu. The same fisadi wa richmond ametufilisi sahv tunamlilia
Umeona ndugu. Inatia huruma ni jinsi gani tunanunulika kirahisi hivyo. Kipindi cha kuvua gamba walitaka afungwe Leo wanataka awe raisi. Eeh Mungu baba tunusuru na pepo hili pepo LA ujinga pepo la kununuliwa ili kuuza nchi
 
Kuweni makini sana. Mtu anaweza kuwa manzese anauza mitumba halafu anawazuga yupo Dom.
Ndio maana hata picha ya geti hawezi kuweka
Nina hakika huyu mtoa updates yuko Dom maana kuna mtu wangu mwingine ananipa hizi hizi toka Dom!
 
Piece or Peace? sio lazima uandike kiingereza jamani...

Piece: a portion of an object or of material, produced by cutting, tearing, or breaking the whole

Peace: freedom from disturbance; quiet and tranquility.

I meant what I wrote.
 
Watanzania tunahitaji elimu. The same fisadi wa richmond ametufilisi sahv tunamlilia

Yan mkuu nimepgwa na butwaa kuona mwiz analiliwa et aje afanye mambo ya maana.. hv kwenye hcho chama kuna mtu wa kulilia hapo
 
Ni wakati wetu wananchi kuomba sana hekima na ufahamu toka mwenyezi Mungu viwatawale viongozi wetu ktk maamuzi,michakato,misukumo,matamanio ya itikadi zao,imani zao,mihemuko yao,kiu zao,falsafa zao.Mifano ya kinachoendelea South Sudan,Burundi,CAR,DRC,Zimbabwe na kwingineko viwe mwanga wa kudumisha upendo,undugu,amani,mshikamano.
 
lowassa ni nani amtishie Raisi wa nchi na kutuharibia chama?? hao wafanya vurugu ni wale wamenunuliwa. polisi ifanye kazi yake sweka wote ndani wakanyee debe hadi uchaguzi uishe hapo october. wapeleke njaa zao huko

Mbona umekuwa mkali sana
 
Back
Top Bottom