Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umekuwa mkali sana
Yan mkuu nimepgwa na butwaa kuona mwiz analiliwa et aje afanye mambo ya maana.. hv kwenye hcho chama kuna mtu wa kulilia hapo
Nimekumbuka Kagame kipindi cha ugomvi wake na JK alishasema kuwa Membe anamsapoti JK katika vita yake dhidi ya Kagame kwa vile Mama Salma na mke wa Membe Dorcas wamezaliwa kijiji kimoja na kusoma shule na wamekuwa marafiki kwa muda mrefu. Nimekumbuka pia wakati wa uchaguzi wa viongozi wa NEC Mama Salma na Ridhiwani walimpigia kampeni sana Membe hadi akapita kwenye lile kundi la watu 10. Ninachokiona hapa ni mwendelezo wa JK kumuachia Membe madarakani ili alinde maslahi yake na familia na wala Membe siyo chaguo la wanaCCM bali ni chaguo la mwenyekiti wa CCM. Naamini ata Magufuli atakatwa tu JK anaona ata akikosa Membe bora ampe mwanamke Migiro au huyo mama mwingine ili asisumbuliwe baadae ila anajidanganya kwa vyovyote mipango yake itafeli watanzania wanataka rais wa kuwaletea mabadiliko wasipomuona ndani ya CCM wamtamfata UKAWA Dr. Slaa
Mbona umekuwa mkali sana
Aisee, nimecheka sana...
Khaa!! wewe endelea kuota ndoto. Ukiamka tu ndiyo utaamini kuwa AMEKATWA!!ccm inaanguka