Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wewe...
Lowasa angeingia tano bora angepita na kuwaacha wengine kwa mbali sana. Bora walivyomfyeka kwny kamati ya maadili maana hata kule CC jina lake halikwenda kabisa...
 
tupo tayari kwa mgombea yoyote atakaye pitishwa na chama, makundi, visasi tutazifukia na kumnadi mgombea wetu kwa pamoja
 
Ninawasihi wote mliopelekwa dodoma na lowassa mjipange upya namna ya kupata nauli za kurudia. kufanya vurugu hakusaidii manake mtaishia jela bure. ukishindana kuna kushindwa hivyo basi jueni mmeshindwa. tafuteni nauli mrudi kwenu. mwisho wa fisadi umetimia.
 
Amekatwaaaaaaah
 

Attachments

  • 1436619098413.jpg
    1436619098413.jpg
    13.2 KB · Views: 154
Hivi mnatuchosha kwani rais wa nchi hii lazima awe Lowassa jamani. Anataka kutufanya nini mbona king'ang'anizi hivyo? Tumesema hatumtaki sio lazima atuongoze yeye. Rostam, Karamagi, Tibaijuka, Ngeleja, Chenge, wana lipi jema kwa nchi hii. Huyu Lowassa na akatwe tu Mungu katuepushia na mabalaa yao mafisadi kwa nchi hii
 
FYI, JK yuko close na Asha kuliko Membe. See who he picked as his FM when he first got power, See who picked as pick for UN chance we got from Secretary General, See who he picked as Mbunge wa kuteuliwa mara baada ya kurudi from UN, see who he picked as Minister to oversea all important constitutional changes immediately after that, see who he asked to go around Tanzania with Kinana,see who he specifically keep closest for the last 10 years of his tenure. None other than Asha Rose Migiro. Huyu Asha, JK alipokuwa ankuja UK 2006 mara baada ya kuapishwa ndio alikuwa anamwimba Baba-baba.., Huyu mama asingekuwa na Mume JK angeshamuoa Kama mke wa 3 n.k, wana mahaba ya dhati.ni kama kaka na dada, naamini wanaaminiana kiasi cha kutosha.

Kwa kifupi JK amewaweka mtu kati, mkikimbia NCHALE, mkichimama NCHALE.

Huyo Magufuli mwenyewe ambaye haonekani close na JK ndio Mfuasi wake muaminifu kuliko woooooooooooote. Hajawahi kumkosoa JK hata mara moja. Everything JK can showw off for kafanya Mafuguli. Alipoenda kuchukua au kurudisha fomu Magufuli alisema mapungufu yoyote ya Serikali?NO. MIGIRO je NO...., sasa utasemaje unamkomoa JK kwa kuwachagua hao wawili?

hapa tushaingizwa mkenge kwa miaka mingine 10. Ni kutulia tu wakati tunanyolewa, unless UKAWA do the needful

Closer beyond what eyes can see
 
Ninawasihi wote mliopelekwa dodoma na lowassa mjipange upya namna ya kupata nauli za kurudia. kufanya vurugu hakusaidii manake mtaishia jela bure. ukishindana kuna kushindwa hivyo basi jueni mmeshindwa. tafuteni nauli mrudi kwenu. mwisho wa fisadi umetimia.

sisy wote hao hawana nauli za kurudi makwao...sasa hapo unavyosikia wanarusha rusha miguu na mateke wanataka walau wahakikishiwe kuwa twatarudishwa makwao..leo asubuhi wamepewa tangazo la kusitishwa kwa chakula na malazi na pia nauli za kurudi makwao wajitegemee...tangazo hilo wamepewa baada ya ntu wao KUKATWA
 
Kimweri,
Ile nafasi ya dsg-un ni Ban KiMoon mwenyewe ndiyo anateua.

Mhusika hateuliwi wala hapendekezwi na Raisi wa nchi anakotoka.
 
Last edited by a moderator:
Nec wafuasi wa lowasa wanaleta fujo za kipuuzi. Naamini ccm hakiwezi kubadili msimamo wao kutokana na kundi la mafisadi.nimeona lowassa nae amekaa pale mbele ili aonewe huruma.mpuuzi sana huyu.
 
Back
Top Bottom