Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kumbe ccm wakiandamana na kukusanyika bila kibali ni ruksa..duh,,ingependeza nao wangeonja joto ya kichapo.
 
huu ni wakati wa lowasa kupima kama kweli watanzania wanampenda au wapambe wake walimwaminisha kuwa anapendwa sasa kumeshapambazuka atuitaji taa kuwaona walikuwa na lowassa kwa mapenzi ya kweli au kwa kumchuna pesa zake.
Wacha bwana wenzie akili bado si zao
 
Kimweri,
Ile nafasi ya dsg-un ni Ban KiMoon mwenyewe ndiyo anateua.

Mhusika hateuliwi wala hapendekezwi na Raisi wa nchi anakotoka.


This post was Ban- KiMoon's way of thanking Tanznaia, DG alipewa personal recommendations, and JK recommendation was this lady. If all was fare the post could have gone to Salim,or a handful of other heavyweight diplomats,remember in 2007 this lady has just 2 years in full diplomatic experience.
And her 1 term short of just 4 years could have a lot to do with 2015. JK wanted to have himself covered in every ground. He has been planning this weekend for the past 8 years.possibly more. So far it's a work of art.

JK fitna yuko fiti.
 
Hao wafuasi wa lowassa wametulia jamani.? Huyu jamaa namshangaa sana wewe mtu umeshaondolewa na vikao kwanini ung'ang'anize?

Lowassa umesikia aking'ang'ania?
Sisi raia huku ndo tuna ng'ang'ania mkuu. Kwasababu ndo chaguo la wengi ndani ya CCM
 
Yan mkuu nimepgwa na butwaa kuona mwiz analiliwa et aje afanye mambo ya maana.. hv kwenye hcho chama kuna mtu wa kulilia hapo

Mbona hamkumfunga kama akina Mramba akipata madaraka atawaumbua kwa kujilimbikizia mali za Watz wofe ninyi ni wanafiki
 
Walizoea kuishi kwa hila na uzandiki, haya yanayotokea sio mageni kwani yalianza toka mwaka 1995 na yakajirudia mwaka 2005 na pia wakati wa kumtema uspika mzee sita.
Mwambieni mzee wa safari ya matumaini awe mvumilivu kwani mbona wamekatwa wengi tu maarufu na pia yeye ni muasisi wa fitina hizo.
Mkumbusheni kuwapa nauli wafuasi wake na kuwalipia pesa za malazi watu wake
 
Duu, ndo ilivyo umo
 

Attachments

  • 1436619993724.jpg
    1436619993724.jpg
    32.8 KB · Views: 188
Alikwishavimba bichwa wakati wa kuomba wadhamini. Sasa afe tu. Fisadi kubwa.
 
..magufuli ana kashfa ya kuuza nyumba za serikali.

..ana kashfa nyingine ya kukaidi ushauri na kuvunja kituo cha mafuta mwanza. Serikali ilihukumiwa kulipa 14 billion. Mramba amefungwa kwa kutia hasara ya bilion 11.

..pia ana kashfa nyingine ya samaki wa magufuli.

..huyu mtu hana busara na pia ni dikteta. Wewe mfuatilie matusi ya chini-chini anayotupa kwa vyama vya upinzani.

..Magufuli ni mpenda sifa, mkurupukaji, na asiye na staha ktk kauli zake.
Tuletee wakwako uzijue rangi halisi za WATANZANIA!
 
na hiyo ilitokea mara baada ya mzee mahiga kuwa mwenyekiti wa baraza la usalama la umoja wa mataifa aliyehakikisha moon anapata uungwaji mkono mkubwa na nchi za africa (from AU) na za huko kwao moon...nakumbuka wakati wa mkutano wa sulivan hapo dar migiro alikuw akama mc na alimudu kweli... cha ajabu hata mahiga amekatwa ..


Hawa kina mahiga naanza kuhisi walikuwa Team JK all along.., maana sasa the lines are blurry between Team Membe and Team JK.waliwekwa pale kujaza nafasi kwa watu kulalamika, kwani ukitazama list ya waliokatwa utafikiri imekosewa na ndio ya waliopitishwa!

Kuna mtu anasahaulika humu, but you have got to hand it to Bi Salma,who would have thought a first Lady would make Membe's political career?
 
Back
Top Bottom