Bila shaka unamaanisha Mkutano Mkuu kwa maana ndio unapitisha mgombea mmoja! Kama ndivyo, wapo takribani 2,400. (na ushee)Hivi kamati kuu ina wajumbe wa ngapi wanayopitisha jina moja la mgombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka unamaanisha Mkutano Mkuu kwa maana ndio unapitisha mgombea mmoja! Kama ndivyo, wapo takribani 2,400. (na ushee)Hivi kamati kuu ina wajumbe wa ngapi wanayopitisha jina moja la mgombea
Kwamba wana imani na Lowassa...
Na ungemwona Lowassa... Inatia huruma sana
So it seems JK had been playing us with his friend Lowassa all along.Sneaky JK.
Haya wajumbe wa Lowassa washahamia kwa membe, kweli njaa zitaua watu. watu wanajiapiza kujiua kumbe hizi njemba ni waarabu wa pemba..,
![]()
Ni hataari mkuu na mimi imennibidi ni log in maana ni tabu sasa zile nyuzi tamu tamu zote zimetiwa key.
picha kuzipata sio rahisi mkuuu kuna ulinzi mkali sana!!!
Nipo dodoma hakuna shida yeyote. Kwa mtazamo wa kitafiti wengi wa wananchi wa kawaida wanapongeza sana uamuzi wa CC kumg'oa Mh Lowasa. Hizo ni propaganda ili kushinikiza jina la Lowasa kurudishwa NEC ni Vitisho tu. Dodoma watu walishatangaziwa nchi nzima kama hawana shughuli maalum Dodoma wasije na wakija kwa lengo baya ninawaonelea huruma yatakayowapata ulinzi ni mkali sana. Na hakutakuwa na nafasi ya kujadiliana na Mtu au watu au kikundi cha watu.
Unajua kilichomponza Lowasa si yeye bali watu walionyuma yake.
Kwa mfano makanisa mengi katika wiki mbili zilizopita walikuwa wakihubiri Lowasa Lowasa lakini wiki ya mwisho ya lowasa kuksanya wadhamini ndiyo wale watu waliokuwa nyuma yake walipoanza kujitokeza. Mtazamo wa makanisa hasa ya kiroho umebadilika sana na sasa wako UKAWA.
NB: Kama Lowasa ataamua kuhama chama na kuhamia chama kingine cha siasa aachane na mafisadi walio nyuma yake atapata Urais kwa kupitia mlango wa Nyuma. lakini aking'ang'ania na kundi lake na vurugu zake Amekwisha kabisa!
"Unajua hatutaki kumsikia Kalamaji, Rostam,Chenge wala Tibaijuka" alisikika Kiongozi mmoja wa dini ya kikristo.
Bado ana nafasi ya kuwa Rais wa jamuhuri ya Tanzania bado anawapiga kura wengi sana.
mkuu una maana gan maana naona kila post unapost hii kitu?
JF rudisheni accessibility ya JF kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?
Mkuu speed ya Internet bongo ni msiba.Inategemea na spidi yako ya Internet. Mie napata HD.nasikiliza tuwabwage tu hapa
Mkuu narudia tena kukuuliza utapenda tuvunjiane heshima? na mimi naweza kukuita vyovyote lakini naomba usikimbilie kwa Mods mara ya pili hii nakujibu kiustaraabu kama utapenda twende upendavyo sawa.
Karibu sana.
aaaf huyo membe na kikwete kweli si mtu na kaka yake hao ....angalia uzuri sura zao utagundua kitu hapo.
Mhh....mara hii 3 bora tayari?
Hahaha,maalim wewe ndo moh'd?Mkuu narudia tena kukuuliza utapenda tuvunjiane heshima? na mimi naweza kukuita vyovyote lakini naomba usikimbilie kwa Mods mara ya pili hii nakujibu kiustaraabu kama utapenda twende upendavyo sawa.
Karibu sana.
Mkuu ajui kama jf ndio forum yenye habari za haraka na uhakika za Tanzania ikiruhusiwa tu jf server itajaa na kuzimamkuu una maana gan maana naona kila post unapost hii kitu?
hata wake zao wanafanana