Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Imetoka tayari? Hapa naiona Picha ya JK mwaka 1995. Makamba atashinda kura za NEC, halafu atakatwa kwa sababu bado hajaiva kisiasa..
Hatua ya NEC imepita ndiyo imetoa hayo matatu, unless una maana Mkutano Mkuu, ambayo si rahisi January kupita. Nafikiri hapa ni Magufuri tu na pengine mgombea mwenza atakuwa Amina
 
Imetoka tayari? Hapa naiona Picha ya JK mwaka 1995. Makamba atashinda kura za NEC, halafu atakatwa kwa sababu bado hajaiva kisiasa..
Makamba anakwenda kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, JK alitaka kumuweka Bilal lakini akaona huyu kigogo kumnyofoa itakuwa ngumu kukubali matokeo.
 
Makamba anakwenda kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, JK alitaka kumuweka Bilal lakini akaona huyu kigogo kumnyofoa itakuwa ngumu kukubali matokeo.

Mkuu siku hzi umekuwa na akili za nzi sana kukimbilia kinyesi. Hayo uloandika umetoa kwenye sehemu gani ya mwili wako? Au upande wa pili. Una uhakika?
 
nakumbuka alivyoaga bungeni na jimboni kwake kwa kujiamini sana...hii kitu ilipangwa kwa mda mrefu zaidi
Lakini kwa upande mwingine Bora maana huyu pekee ndiye atakaye weza kuuvunja Mtandano uloanza Usalama wa Taifa. Ni hatari sana kwa Taifa chombo hicho kuwa na makundi..
 
Amepitishwa magufuli si muda mrefu anakuja kuwashukuru wajumbe.
 
Hamna cha lowasa apa haiwezekani ahonge watu mpaka waandamane wengine kawaahidi vyeo wanatupigia kelele ndani ya mkutano.
 
Mkuu unadhani kina Makongoro Nyerere wameingia bure kwenye kinyanganyiro stuka.

Teh teh teh!!! Umeishajiuliza kina Butiku kwa nini wanalalamika chama kimetekwa.

Mtu kama Pinda Waziri Mkuu kakatwa halafu yupo kimya sana pamoja hana uwezo lakini kama kweli alikuwa na nia ya urais lazima angeonyesha nguvu zake za kisiasa.
 
Lowassa umesikia aking'ang'ania?
Sisi raia huku ndo tuna ng'ang'ania mkuu. Kwasababu ndo chaguo la wengi ndani ya CCM

Haiwezekani mtu achaguliwe kwa sababu ya pesa zake bwana.uongozi haununuliwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…