mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Hatua ya NEC imepita ndiyo imetoa hayo matatu, unless una maana Mkutano Mkuu, ambayo si rahisi January kupita. Nafikiri hapa ni Magufuri tu na pengine mgombea mwenza atakuwa Amina
Sidhan, Yaani Membe apenye 5 bora akwame kwenye 3 bora?
Teh teh!Gwajima nae sijui yuko kwenye hali gani muda huu!!
umekurupuka kuchangia madaHivi mnatuchosha kwani rais wa nchi hii lazima awe Lowassa jamani. Anataka kutufanya nini mbona king'ang'anizi hivyo? Tumesema hatumtaki sio lazima atuongoze yeye. Rostam, Karamagi, Tibaijuka, Ngeleja, Chenge, wana lipi jema kwa nchi hii. Huyu Lowassa na akatwe tu Mungu katuepushia na mabalaa yao mafisadi kwa nchi hii
Wacha wapigane tu mana tumechoka sasa
dont think ni sifa toka asubuhi unacomment kitu kimoja tu, hii ni dalili ya utotoMaamuzi magumu kweli
AMESHAKATWA
umekurupuka kuchangia mada
Katika harakati ya kuwapooza kundi la akina Lowasa.Ili chama kisije paraganyika.
Ninachoona kuna mchezo hapa unachezezwa Mkutano Mkuu watakuwa Rubber Stamp tu. Raisi atakuwa Kati ya Amina na Magufuli.
Ila kwa vile Watanganyika ni wengi basi Amina inabidi akae pembeni asubiri kuteuliwa kuwa Makamu wa Raisi.
Kama hiyo tetesi ni kweli kwamba ni Makamba ,Magufuli na Amina.
Ila Mwenyekiti angetamani Makamba-kwa masilahi Binafsi.
Ha haa haa,daaah.kamaliza debe la kwanza la malimao..ndo anaanza la pili mda huu...
Teh teh!Gwajima nae sijui yuko kwenye hali gani muda huu!!
Chaguo la Mwenyekiti wa CCM ni Lowassa lakini lazima ahakikishe anacheza siasa safi ili asionekane anampendelea rafiki yake.
Jina la Lowassa limekatwa kamati kuu na ile ya maadili ili kuwahadaa wajumbe wa vikao hivyo kuwa Lowassa sio chaguo la Mwenyekiti.
Baada ya kikao mwenyekiti akawatuma kina Dr. Nchimbi kulalamika wazi wazi kuwa kanuni zimekiukwa kwenye CC kwa malengo 2.
Moja, kuwavuruga wajumbe wa CC kuwa hawakufanya maamuzi Sahihi.
Pili, kuwa incite wajumbe wa NEC na wa Mkutano Mkuu ili mikutano yao itakapofikia watumie kanuni kuomba majina ya wagombea yaongezwe na hapa ndipo jina la Lowassa litaingia.
Sasa jina la Lowassa litapoingia kwa nguvu ya wajumbe wa NEC au Mkutano Mkuu, Mwenyekiti atasema wengi wape. Na hapa ndipo mchezo ulipo ili asionekane amempendelea mtu yeyote.
Kuingia kwa Lowassa hatua hii kutasaidia kuondoa makundi ndani ya chama maana hata Membe hatalalamika tena kwamba kaonewa maana yeye aliingia 5 bora toka mwanzo.
Katika hatua hii msishangile, subirini kwanza Nec na mkutano mkuu. Ila kuweni makini na kupata shinikizo la damu.