Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Kamanda mambo vipi, ile ban itakuwaje maana uliomba mwenyewe hawa majamaa hawaamini usiambiwe kitu na magamba yeyote
 
Updates wapi nimesema kikao kimeahirishwa mnakimbiza thread.............hapa haipom mwenye kuanzisha uzi hata hatoi updates
 
Watanzania katika hili hawawezi kumsaidia EL..Waliweza tu kumchomoa Siti Mtemvu...hizi ni siasa....the most powerful and slippery phenomenon.
 
warudi kulala tu manake nec hakieleweki bila jina la laigwanan
 
hizi taarifa umezipata wapi mkuu wakati simu zote zimezimwa na wahandishi wa habari wamefukuzwa nje sasa wewe umefanya udukuzi gani kupata taarifa hizi?

Wacha uongo simu zimezimwa kwa sababu gani?
 
sasaaa NIMEJUA KWANINII DK SILAAA ALISEMA JAMAA ANATAKA KUBAKI MADARAKANI

HIZI NDIO STYLEE NINAZOZIONAAA MZEE WE KICHWA SILAA
 
Aluta continua mpaka kieleweke wanabana lazima waachie atuambie hizo tatu anachagua yeye ama familia yake
 
Watanzania wote ambao mmesikiliza .mahojiano yaliyomallizika sasa hivi Azam/chanel 10 kati ya Charles Hilary. Na mzee Kingunge sentensi ya mwisho ya mzee huyu kasema."Kama viongozi wa chama hawatawaleta jina linalokubalika kwa wanachama na nje ya wanachama basi watakuwa na mpango wa kuangusha chama na hatimaye kusababisha vurugu ktk nchi." Mwisho wa kunukuu.Tutafakari kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…