Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Video na audio hazikomplai ( hata jk asapoti audio hiyo?? NOOOO). BTW kwani lazima awe yeye tu bana???. KASHAKATWA!!!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video na audio hazikomplai ( hata jk asapoti audio hiyo?? NOOOO). BTW kwani lazima awe yeye tu bana???. KASHAKATWA!!!
Kwa wale walioajiriwa ukipewa barua ya kuajiriwa kusema unaambiwa "You have to be royal to the employer"
Hiki ndicho kimepatia hiyo 5 bora.
kupitia serikali ya Chama kipi?
Nyoo!! mmevimbiwa mkamwaga chakula na kuteketeza maghala mkizani matumbo yatabaki hivyo hivyo.
Sasa subirini Serikali ya Ukawa alafu mwangalie huyo mnayesema kuwa atakuwa waziri wa mambo ya nje atapitia mlango gani.
Mmelikoroga wenyewe na nilazima mlinywe na bahati mbaya mnanyweshwa.
mani**#*nazenu##@%$#*
hizi taarifa umezipata wapi mkuu wakati simu zote zimezimwa na wahandishi wa habari wamefukuzwa nje sasa wewe umefanya udukuzi gani kupata taarifa hizi?
Karibu kesho saa 4. Majina ni kesho