jajithebest
Member
- Jun 12, 2015
- 45
- 8
CCM wamechichimbia kaburi wao wenyewe maana mtaani kulikua na kundi kubwa la TEAM LOWASSA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aluta continua mpaka kieleweke wanabana lazima waachie atuambie hizo tatu anachagua yeye ama familia yake
Hivi Ni Kwanini Watanzania Tunapenda Mno Kuwa Wazushi Na Siyo Wafuatiliaji Wazuri Wa Mambo? Hivi Hizo Radio Na Tv Zetu YTumeziweka Tu Kama Mapambo? Chombo Kikubwa Cha Serikali Na Ambacho Ndiyo Official Broadcaster Wa Hili Tukio Zima Huku Waandishi Wake Wakiwa Ukumbini Tayari Hakijasema Lolote Kuhusu Kuhairishwa Na Majina Kutajwa Kesho Bali Ninachokijua Ni Kwamba Muda Wowote TBC1 Wataanza Kurusha Matangazo Yao Live Kutokea Ukumbini Juu Ya Mkutano Mkuu Wa CCM Na Hata Kama Mkutano Ungehairishwa Basi Katibu Ya Itikadi Na Uenezi Nape Angefanya Press Conference Na Umma Tungejulishwa au Kufahamishwa. Muda Mwingine Mkiwa MNADHARAULIWA Humu Na Kuitwa MAPOPOMA Msiwe Mnakasirika Kwani Mnaboa Na Mnaudhi Kwa Umbea Na Kupenda Kwenu KUZOZA! Halafu Unasema Umesikia Na Mbona Hujasema Umesikia Kwa Nani au Chombo Gani? Ndiyo Maana Hata Taifa Letu Linadharaulika Nje Ya Mipaka Yetu Kutokana Na Wazushi Na Wapuuzi Wa Aina Yako. Umeshawekewa Hapo Link Lakini Bado Tu Unabisha Kuwa Hakuna Kitu Kinachoendelea. Kwahiyo Hiyo Link Iliyowekwa Hapo Ni Ya Watoto Wako Wakigombania Kuingia Chooni Kujisaidia au? Halafu Hapo Hapo Tunajitapa Sisi Ni Great Thinkers Humu. Shame On You!
Nasema mmemwaibisha lowasa hiyo nikweli kamati ya ccm mlikua mnajua kua hatapita au hana sifa na kwa jinsi alivyo kua gumzo kwa wana nchi wenu japo mngemwacha aingie hata tano bora hata nyinyi pia msingeonekana kua mlikua mnajua nani hapiti nani anapita
ukawa hawataki mafisadi. Huyo ni wa ccm huko huko. Alkienda ukawa anaanzia mahabusu kwa wizi wa mali za umma. Hatutaki mafisadii.
Majina ma3 ni mpaka kesho-Nape
sasaaa NIMEJUA KWANINII DK SILAAA ALISEMA JAMAA ANATAKA KUBAKI MADARAKANI
HIZI NDIO STYLEE NINAZOZIONAAA MZEE WE KICHWA SILAA
Acha ujinga wewe...umeambiea leo saa 3 jina moja litakuwa hewani
MZEE anaona mbali sana
MZEE anaona mbali sana