Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hivi Ni Kwanini Watanzania Tunapenda Mno Kuwa Wazushi Na Siyo Wafuatiliaji Wazuri Wa Mambo? Hivi Hizo Radio Na Tv Zetu YTumeziweka Tu Kama Mapambo? Chombo Kikubwa Cha Serikali Na Ambacho Ndiyo Official Broadcaster Wa Hili Tukio Zima Huku Waandishi Wake Wakiwa Ukumbini Tayari Hakijasema Lolote Kuhusu Kuhairishwa Na Majina Kutajwa Kesho Bali Ninachokijua Ni Kwamba Muda Wowote TBC1 Wataanza Kurusha Matangazo Yao Live Kutokea Ukumbini Juu Ya Mkutano Mkuu Wa CCM Na Hata Kama Mkutano Ungehairishwa Basi Katibu Ya Itikadi Na Uenezi Nape Angefanya Press Conference Na Umma Tungejulishwa au Kufahamishwa. Muda Mwingine Mkiwa MNADHARAULIWA Humu Na Kuitwa MAPOPOMA Msiwe Mnakasirika Kwani Mnaboa Na Mnaudhi Kwa Umbea Na Kupenda Kwenu KUZOZA! Halafu Unasema Umesikia Na Mbona Hujasema Umesikia Kwa Nani au Chombo Gani? Ndiyo Maana Hata Taifa Letu Linadharaulika Nje Ya Mipaka Yetu Kutokana Na Wazushi Na Wapuuzi Wa Aina Yako. Umeshawekewa Hapo Link Lakini Bado Tu Unabisha Kuwa Hakuna Kitu Kinachoendelea. Kwahiyo Hiyo Link Iliyowekwa Hapo Ni Ya Watoto Wako Wakigombania Kuingia Chooni Kujisaidia au? Halafu Hapo Hapo Tunajitapa Sisi Ni Great Thinkers Humu. Shame On You!

Amekuelewa mkuu..!tumsamehe
 
Nasema mmemwaibisha lowasa hiyo nikweli kamati ya ccm mlikua mnajua kua hatapita au hana sifa na kwa jinsi alivyo kua gumzo kwa wana nchi wenu japo mngemwacha aingie hata tano bora hata nyinyi pia msingeonekana kua mlikua mnajua nani hapiti nani anapita

Hawezi kuwaacha bure lazma atawatandika tu, labda kama yule aliyechukua form hakuwa EL hili game bado bichi ndo kwanza limeanza.
 
MzeeKingunge hana cha kupoteza kama CCM watafarakana, yeye ameshamaliza zamu yake anasubiri kiharusi aishie kukaa nyumbani au hospitali. Anatakiwa kupuuzwa kwa kutaka kutulazimisha achaguliwe mtu anaemtaka yeye
 
Mzee yuko fit jamani anafamilia mumheshimu kama wazazi wenu tofauti za siasa zisiweke kutoheshimu babu zenu adabu muhimu always
 
Acha ujinga wewe...umeambiea leo saa 3 jina moja litakuwa hewani

Nimekusamehe kwa maana mie sio mjinga. Kulingana na maelezo ya Nape mara tu baada ya kikao kuisha, amesema hatatangaza majina matatu, wasubiri kesho! Sasa mjinga nani hapo?
 
Hata nani awekwe,lazima ccm wapate changamoto msimu huu wasipokuwa na kauli moja.
 
MZEE anaona mbali sana

Hana lolote mzee huyu.Angekuwa anaona mbali basi angeniona hapa Mandangeni naelekea Sumi.Yeye na familia yeke kupitia kinje waliibia serikali kupitia UBT bila haya wala aibu hadi Pm kaingilia kati baada ya kelele za bunge!
 
Mnao mcheka Kingunge sasa mtamwelewa mwisho wa Oktoba! Kikwete na washitika wake watafanya mambo mengi ya aibu kuliko hayo wanayo ktk chama chao.
 
aya bwana sisi wa vijijini tunamuomba magufuli anbaye anauzika sana kwetu basi
 
haya twende sasa

attachment.php
 
Back
Top Bottom