Hivi Ni Kwanini Watanzania Tunapenda Mno Kuwa Wazushi Na Siyo Wafuatiliaji Wazuri Wa Mambo? Hivi Hizo Radio Na Tv Zetu YTumeziweka Tu Kama Mapambo? Chombo Kikubwa Cha Serikali Na Ambacho Ndiyo Official Broadcaster Wa Hili Tukio Zima Huku Waandishi Wake Wakiwa Ukumbini Tayari Hakijasema Lolote Kuhusu Kuhairishwa Na Majina Kutajwa Kesho Bali Ninachokijua Ni Kwamba Muda Wowote TBC1 Wataanza Kurusha Matangazo Yao Live Kutokea Ukumbini Juu Ya Mkutano Mkuu Wa CCM Na Hata Kama Mkutano Ungehairishwa Basi Katibu Ya Itikadi Na Uenezi Nape Angefanya Press Conference Na Umma Tungejulishwa au Kufahamishwa. Muda Mwingine Mkiwa MNADHARAULIWA Humu Na Kuitwa MAPOPOMA Msiwe Mnakasirika Kwani Mnaboa Na Mnaudhi Kwa Umbea Na Kupenda Kwenu KUZOZA! Halafu Unasema Umesikia Na Mbona Hujasema Umesikia Kwa Nani au Chombo Gani? Ndiyo Maana Hata Taifa Letu Linadharaulika Nje Ya Mipaka Yetu Kutokana Na Wazushi Na Wapuuzi Wa Aina Yako. Umeshawekewa Hapo Link Lakini Bado Tu Unabisha Kuwa Hakuna Kitu Kinachoendelea. Kwahiyo Hiyo Link Iliyowekwa Hapo Ni Ya Watoto Wako Wakigombania Kuingia Chooni Kujisaidia au? Halafu Hapo Hapo Tunajitapa Sisi Ni Great Thinkers Humu. Shame On You!