Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mbona nimesikia kuwa wajumbe wa nec 295 kati ya 378 wamegoma wanataka EL arudishwe
 
Yule bingwa wakukariri km za barabara na mtendaji bora ktk baraza la mawaziri kipenz cha wa Tz ndie atakayekuwa rais wa Jamuhuri ya muungano. Tumuombe nakumwambia Mungu ampe nguvu na ustadi mkubwa kulitumikia taifa la Tz. Thank you God
 
sasa kama hakuna mjumbe alieingia na simu ina maana kuna baadhi ya wajumbe p.umbu zao zinakamata mtandao ama mtoa mada unataka kusema nin kwa mfano??

Yaani wewe ni kiboko wajumbe nini zao zinakamata mtandao?????????????????????????????? umenifanya nicheke sanaaaaaaaaaaaaa mpaka machozi yanatoka hovyooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Rais wa awamu ya tano ni kutoka UKAWA. Tumechoshwa kwa Ikulu na nchi kuendelea kunajisiwa na mafisadi.
 
Makufuli huyuhuyu aliewataka wananchi kama hawawezi kulipa nauli 200 kwenye pantoni waogelee!! Arudishe kwanza nyumba za national housing alizojigawia yeye na gamba jenzie Maembe!
 
Huyu Mzee Kingunge alitaka Lowassa apite hatimae awe Rais ili mtoto wake Kinje aendelee kutesa na biashara yake ya madawa ya kulevya bila bughudha. Sasa Lowassa katupwa nje mzee anasikilizia maumivu.

Nilisema kwamba Lowassa hatufai na kuna watu waliniona mimi ni kichaa fulani hivi, sasa yametimia. Tuwe na Rais mwizi na fisadi, no please.

Tiba
 
JK namkubali hatotuangusha watz ili kuepuka lawama za hapa na pale wamuweke Magufuli tu home kiroho safi tu ampishe waungane tufanye kazi moja ya kuwanyima wezi rasilimali zetu
 
Logic. Jk 1 yesu, rucser mud, benja jezas, jk 2 ara, -------- bw. Kwa orodha iliyobaki, no dhahili kuwa mzee alcohol ndiye mshimdi.
 
hivi unafikir membe mtu sahihi kwa kuongoza hii nchi?
Asha migiro anaweza kuongoza hii nchi?
January makamba anaweza kuongoza hii nchi?
Amina anaweza kuongoza hii nchi?

Hapo labda magufuli peke yake lakin magufuli sio chaguo lao
sasa sijui ww mkuu unaonaje

Ninachoona ni kwamba chaguo la wengi ndilo linalostahili kupewa kipaumbele, ila katika suala la machafuko nakataa; LOWASSA he deserve to be among of them, ila kuna mambo kadha yanakataa ukiangalia zile sifa 13 alizozianisha mangula kabla hata ya mchakato huu kuanza.. Ileee #3 inamtoa mheshimiwa LOWASSA.. BUT HE DESERVE , COZ HE'S THE PEOPLE CHOICE.
 
Back
Top Bottom