Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ndivyo ilivyopangwa na hatimaye Dr Migiro ndio ataibuka kidedea, Magufuli aliandaliwa kuwa PM na huyo January anaenda Foreign Affairs kuchukua nafasi ya Membe!!
 
Mzee Wewe Umri Umeenda Hauwezi Ukatuchagulia Rais Kapumzike Nyumbani Usubili Tukuletee Sukari
 
Basi sawa.Kwa maana hiyo Migiro na Makamba ni wasindikizaji.
 
Magufuli hata hivyo ni jembe na Membe lazima asulubiwe na kundi la Lowassa kwenye NEC.
 
You are very right and this is unacceptable! Tatizo ni kuwa wahusika hawalioni kabisa hili na wanaridhika kirahisi sana hapana tuseme imetodsha sasa! Imetosha ajira zooote za mashirika ya fedha mazurimazuri wanapewa dini moja hii haikubaliki kabisa. Magufuri amewekwa hapo kutuidanganya wananchi na wengine wanadanganyika let us wake up!!!!!

tunashangilia tu kama mazuzu Lwasa anakatwa kiimani na katika hao watano magufuli hatokuwa rais hata siku moja mutamsikia makamba-chunguza sana mikutano ya makamba ya kutangaza nia na ile ya wadhamini you will draw a picture of what is and will happen uzuri haya mambo yamerahisishwa na msimu kwamba kabla ya jambo flani utasikia hili lifanyike baada ya-------------inatoa muda wa kukutana kiitikadi na kuweka strategy
 
Mwaka huu naiona harufu ya vurugu kali ndan ya ardhi ya tz,
CCM wamechagua watu dhaifu na wasio na uwezo wa kuongoza nchi hapa natabir ushindi kwa wapinzan lakn CCM hawatakubali kushindwa watatumia plan B ili kushinda sasa hapo ndipo hata wapinzan hawatakubali hapo tayar vumbi ndan ya nchi yangu.

Watatafuta GOLI LA MKONO, ila wajue yanamwisho, na mwisho ni sasa.
 
Tatizo lake ni wanamtandao ndugu,walizani mwaka uhu itakua kama 2005 walijiaminisha mia kwa mia kwamba wameshika mpini kwa kukiweka chama mfukoni,


sasa wamepigwa (babel) uongozi haupatikani kwa fedha na kuigiza kwa kusomba watu ili uonekane unakubalika sana,


hongera mzee kikwete maana msinge gundua haka kamchezo nchi ihi ilikua inakabidhiwa kwa michwa, walio kua wana haha usiku na mchana kuhakikisha mtu wao anapita,wale nchi ihi,,

mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu JK inchi ilikua inakwenda kwa michwa,
 
Back
Top Bottom