Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ila kinachoendelea ni contempt of the highest order against the chairman of the party.
 
hivi wabongo hamna kazi ee, unaacha kujenga maisha unakaa kwenye TV kuangalia wengine wakitengeneza mpunga wao

Tumefanya kazi mwisho jana mkuu leo tuna uhuru wa kuangalia tv na.kutumia simu zetu, una tatizo juu ya hilo?
 
Acha bana mkubwa. Lowasa ni masai hawezi anguka kwa jambo dogo hilo. Kaisha potezea muda mrefu. Ni nyie wapambe nuksi mnakosa usingizi. Pole sana bana.

By the way, kwani Lowassa ni Mmeru/Muarusha au Mmaasai?
 
Back
Top Bottom