Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni ujinga wa kuingiza UDINI hapa, katika watano Migiro, Magufuri na Membe dini moja na Amina na Makamba dini nyingine udini uko wapi hapo? Msitudanganye Fisadi mwenzenu hakupita mnawaza mirija yenu mtaiweka wapi sasa mnataka kuleta uchochezi, Shame on you!!
naiona serikali ya mseto hiyoo..
Ccm + ukawa matokeo uchaguzi mkuu -tanzania
.
chokAkiwa anahojiwa na Charles Hilali Kingunge amesema mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini mapema kabisa.
Sasa maamuzi yanayo tokea na yatakayo tokea,yatatokana na kile ambacho kiliandaliwa toka mwanzo.
Mwaka huu naiona harufu ya vurugu kali ndan ya ardhi ya tz,
CCM wamechagua watu dhaifu na wasio na uwezo wa kuongoza nchi hapa natabir ushindi kwa wapinzan lakn CCM hawatakubali kushindwa watatumia plan B ili kushinda sasa hapo ndipo hata wapinzan hawatakubali hapo tayar vumbi ndan ya nchi yangu.
Mkuu hakuna rais ccmwakuu kwa mujibu wa mjumbe ndani ya kikao cha Nec amesema January magufuli na migiro ndio waliopenya tatu bora
Sawa Mkuu. Umeolewa?
Muulize huyo mjumbe kala maharage ya wapi? nani kamroga? au kavembewa wali..
Kwani wadhamini ndio wamemchinja? Ni rafiki yake