Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

You are very right and this is unacceptable! Tatizo ni kuwa wahusika hawalioni kabisa hili na wanaridhika kirahisi sana hapana tuseme imetodsha sasa! Imetosha ajira zooote za mashirika ya fedha mazurimazuri wanapewa dini moja hii haikubaliki kabisa. Magufuri amewekwa hapo kutuidanganya wananchi na wengine wanadanganyika let us wake up!!!!!

kwa style hii ukawa mtasubiri sana,kama mindset ndo ziko hivi
 
Wakipitisha madudu bungeni Poa, Wakipitisha madudu huku kwenu povu hadi puani

Fact! Naona wameonja uchungu ambao huwa tunaupata pale ambapo wanaptisha madudu bungen tena kwa mbwembwe
 
Nimekusamehe kwa maana mie sio mjinga. Kulingana na maelezo ya Nape mara tu baada ya kikao kuisha, amesema hatatangaza majina matatu, wasubiri kesho! Sasa mjinga nani hapo?

we nadhan ulikua unaangalia marudio AZAM TV & CHANEL 10.
ngoma ni leo kuanzia saa 3 uck
 
Wakuu habari,

Ntakua nawaletea Update ya kile kinachojiri kwenye Vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma. Ntahakikisha kila kitu naweka hapa.

Karibuni sana.

=================

Updates;

1. Update;
Sasa mchakato unaanza rasmi, Wajumbe kamati ya Maadili wanaingia Ukumbini, CC itafuata, haijajulikana kama na NEC itafanyika leo, itategemea na muda utakao tumika na vikao viwili hivyo.

2.Update
Rais Kikwete ameingia Ukumbini muda huu

3. Update
Kikao cha Usalama na maadili kinaendelea. Hiki hata kikiisha hakina briefing. kama kawaida, Ulinzi umeimarishwa na state

4.Update
Wakuu Kuweka Updates sio lahisi kama mnavyodhani sababu ulinzi ni mkali na hakuna aliyeruhusiwa kuingia na simu. Kumbuka hii ni kamati ya maadili, hivyo kuweni wavumilivu. Kikao kinaendelea.

5.Update 14:46
Kamati ya maadili imemaliza kazi yake, sasa ni zamu ya CC kuingia, lakini Rais Kikwete katoka, Kikao kitaanza akirudi.


6. Update 16:00
Wajumbe wa CC ndo wameingia sasa hivi, watapewa majina matano
na kamati ya maadili ya Wagombea urais.

7.Update 16:55
Team inayomuunga mkono Edward Lowassa zaidi ya watu 200, wamekutana mchana huu Katika Ukumbi wa St. Gasper, kuweka msimamo iwapo huyo wanayemtaka hatakuwemo kwenye Top 5 ya Wagombea waliopitishwa na kamati ya maadili.

8.Update 18:50
CC imemaliza Kikao chake, Nape amesema majina matano yaliyopendekezwa yatatolewa baada ya Kufuturu.

9. Update 22:55
CC bado inaendelea, sasa hivi watu wa catering wanawapelekea vyakula na vinywaji (Pengine ni daku ya leo kwa waliofunga?)

Julai 11, 2015:

1. Update 01:00
CC imemaliza kikao chake; Nape kakutana na waandishi na kuna tetesi kuwa kuna kundi lilikuwa linajipanga kufanya mapinduzi ya Mwenyekiti wa CCM. Aidha, Nchimbi na wenzake wawili wameondoka wakiwa wamejaa jazba na wameonekana kutokubaliana na maamuzi ya CC. Updates zaidi zinafuata...

2. UPDATE 01:20

Hatimaye 5 Bora imejulikana, ni:

1) Bernard Membe

2) John Magufuli

3) Asha Rose Migiro

4) January Makamba

5) Amina S. Ali

View attachment 267181


3: Update 12:00

Nchimbi, Mkono na Kibajaji wamezuiwa getini wasiingie mkutanoni kisa hawana vitambulisho. Baada ya tafrani ya takribani robo saa wajumbe hao wameruhusiwa kuingia.

4: Update 12:15
Mwenyekiti wa CCM Taifa, mh. Kikwete amefungua kikao cha Halmashauri Kuu Taifa (NEC) cha kuchuja majina matano nafasi ya kugombea Urais.

5: Update 12:51
NEC imemaliza kikao cha kupiga kura, Tatu bora inatangazwa hivi punde (Kama itatokea)


6: Update 13:05
Kikao cha Halmashauri Kuu kimepitisha jina la Dr. Shein kuwa mgombea wa Urais Zanzibar.

7.Update 13:25
Wanec wametoka nje, hawana imani na CC, wanahoji kwanini Membe apite 5 bora, Lowassa aachwe?. Wametishia kuifuta CC. Ngoma imeachwa wazee kina Mwinyi na Mkapa wamebaki wakishauriana na viongozi nini cha kufanya.

8. Update 13:33
Hali ni tete Dodoma, Wapambe wa Lowassa, Wametishia Amani, Wamejikusanya kwenye bustani ya Nyerere Squre Wanaimba. Tunamtaka Lowassa tunamtaka Lowassa...!!

9:Update 14:00
Mkutano umefunguliwa na Mwenyekiti wa chama Rais Kikwete na kuahirishwa baada ya Dakika saba kwa kile wanachodai ni kuruhusu watu wakapate Chakula cha mchana. Wakati Mwenyekiti wa Chama anaingia, Wajumbe wa NEC walimpokea kwa wimbo wa "Tuna imani na Lowassa" hadi rais anakaa wameendelea kuimba
.


10: update 17:30
Mkutano wa NEC, wajumbe wanapiga kura hivi sasa kupata wagombea tatu (3) BORA. Mkutano mkuu wa Taifa Utaanza saa TATU usiku.

attachment.php

ad amekatwa

mleta thre
 
sasa wanapigia kura yale majina matano halafu kuanzia saa tatu mchakato wa kupitisha jina moja utaanza, kwa maelezo ya Nape
 
wanatanzania kama kweli tuna nia njema na mama Tanzania{kama mbatia anavyopenda kuita} hiki chama kinapashwa kupumzishwa kushika hatamu, kupitia huu mchakato nimejifunza mambo kadhaa
1.huwezi kuwa kiongozi ndani ya ccm hata kama unakubalika na wanachama wote wa ccm
2.unaweza kuwa kiongozi wa ccm pale tu kiongozi/viongozi wa juu wa chama,pamoja na familia zao,tunalionna hili kwa mwenyekiti
3.matajiri wanawachagulia ccm/Tanzania viongozi

Actually you are wrong, CCM sio wajinga kama unavodhani kwenye kuchagua mgombania urais, infact they are smarter not to choose someone like Lowassa, unaweza fikiri watu wanampenda Lowassa but that wasn't actually a true fact, ulikua unapata view ya juu juu tu na kama Lowassa angepita kuwa mgombania Urais its obvious jamaa lazima angepoteza, hawa candidates waliobaki wote ni watu ambao wako very stable, u might think u don't appreciate any one of them ila u do appreciate them u just don't know it yet, u will.

I think CCM wamefanya a very smart move kwenye huu uchaguzi, though i wish mwaka huu chama kingine kiingie madarakani, ningependa kuona a change in the government kuanzia ngazi ya juu kabisa hadi chini, ingekua kama an indicator kua Tanzania is changing n so should the people follow along.
 
Mke wake kingunge amepewa makusanyo ya parking Kariakoo. Kote saa ni 300 wao saa shs 500 wanatunyonya sana
 
Vitu vinavyoongoza kwa kukatwa nchini;
• Mauno
• Keki
• Umeme
• Lowassa
 
Back
Top Bottom