Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Huyu mzee ana ujinga wa kiasi hichi,hivi kwa umri wake kwa
nini asitunze angalau kidogo heshima aliyokuwa nayo kwenye jamii.Kwa kitu gani kujitoa ufahamu kiasi hicho Kingunge huyu.
 
Tatizo lililopo ni how comes Bernad Membe aingie top 5????? kwa vigezo gani alivokuwa navo vya kumshinda Lowassa??????
Kama Lowassa kakatwa kwa nini Membe hakukatwa???? Ukiliwaza hili swali hata ukiwa raia wa kawaida tu lazima upate shida.
Swali lingine how comes Migiro amepenya hadi tano bora???? Tuseme Migiro uzoefu wa kimataifa na serikali kamzidi Dr. Mahiga???? Hapo hata kama hujaenda shule lazima ujiulize.
Swali lingine walimshawishi Jaji Ramadhani kuwalaghai kina Warioba ili wasiwashe moto??? alafu wamekuja kuwasuprise dodoma????? Haya ni maswali mengine mazito sana.
Swali lingine watu wanajiuliza Makamba kaprove kitu gani kwenye nini hadi kumshinda mtu kama Muhongo???? yaani hadi aingie tano bora????
Watu wanajiuliza vilevile Membe ana kitu gani special sana wakati alishawai kutamka kuwa ye ni mtu wa kisasi yaani akiwa raisi maadui zake 11 waamie kenya???? Hivi wale wazee wote makini hawakuliona hilo??????
Watu wanauliza kuwa how comesmtu aliyesema Tanzania kujiunga na OIC akiwa kama waziri wa mambo ya nje hadi akaitilafiana na baadhi ya viongozi wa dini leo chama kinamuona yuko sawa hata kuingia 5 bora?????

Ukiangalia kwa makini kuna maneno yamekuwa yakisema kuhusu project WAMA na hili ndo limekuja kujidhihirisha hapa.

KIUKWELI NI KWAMBA ILI HAWA JAMAA KUONEKANA WAKO FAIR WAREKEBISHE UAMUZI WAO JINA LA MEMBE WALITOE, MIGIRO ATOKE NA LOWASSA ASIWEPO ILA WAWEKE WATU AMBAO HATA WAKISEMA TUMEWACHAGUA HAWA BASI JAMII IWEZE ANGALAU KURIDHIKA NAO.

Wakipitisha madudu bungeni Poa, Wakipitisha madudu huku kwenu povu hadi puani
 
Nafkri ACT kuna nafasi. Bw Lowassa aweza hitajika huko. usichelewe baba changamkia huko. Kama ulipendwa wewe na si chama wafuasi wako watakufuata. Sisi ni observer tu!

What does ACT mean??
A=Akikatwa

C= Ccm/ Chadema

T= Tunamchukua
 
Mzee Kingunge pole sana hayo ndiyo madhara ya kupokea hela za watu angalia unavyohangaika, haikukupasa wewe mzee kuendelea na mambo hayo kwa sasa. Mtaisom mwaka huu
 
Anguko la lowassa ni anguko la watia nia na wagombea wengi wa viti maalum kupitia CCM hasa upande wa bongo movie. nina imani kupita kwao kutakuwa kwa kuchechemea kama sio kuanguka pia. hakutakuwa na uuzaji wa sura tena
 
Top three
1. Magufuli
2. Membe
3. Migiro
Kusudio la ccm ni kumpitisha Membe lakini Kwa kuwa mamvi amekatwa timu yake itahamia kwa Magufuli ili kumkomoa #Membe
 
sema nguvu ya wezi...hivi kama wananchi mnanunuliwa kwa kanga na kofia sembuse pale hela ya ukweli inapomwagwa? hiyo ni nguvu ya hela za wezi na si nguvu ya wengi. Hatumchagui mtu kwa kuwa anapendwa...kama unampenda nenda ukanywe nae chai
Mrembo una majibu mazuri hadi nimekupenda ghafla. Ntakupataje aisee??
 
Unapenda kuangalia Video za Ngono kuliko Television Kimsingi Ndo alichokisema mzee Kingunge alivyokua akifanya Mahojiano na Mwandishi wa habari mwandamizi wa BBC Charles Hilary na alionekana kupitia Channel ten
Alishahama bbc mda mrefu sana sasa ni wa azam tv
 
Back
Top Bottom