palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Mgombea Urais 2015 wa Zanzibar amepatikana. Ni Mhe. Ali Mohamed Shein. Endelea kufuatilia #KaribuDodoma UMOJA NI USHINDi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilalamike sana Mkuu, Kula yako wape UKAWA.WAMETUWEKEA BABA MDOGO!!
IS THIS A FAMILY COUNTRY?
WAJUMBE WA NEC SUSIENI UJINGA HUU,THIS IS QUIET NOT FAIR!!
CHAGUO LA WENGI NI LAZIMA AREJESHWE!!
WE ARE NOT A SULTANATE COUNTRY!!
MKAPA,MWINYI SAIDIENI KUTUONDOLEA UDIKTETA HUU!!
THIS IS TOO MUCH!!/
**DEMOKRASIA ITUMIKE ZAIDI WENGI WAPE**
**TAIFA INAELEKEA WAPI? ENDAPO DEMOKRASIA INAPUUZWA**/ii
Baada ya CCM kuwatangaza watano bora wa kuwania ngazi ya urais imekua gumzo mtaani baada ya Edward liwassa kutokuwemo kwani watu wengi walifikiri kua liwasa angekua wa kwanza kutajwa kati ya watano haoo Lakin nakishukuru chama hicho maana kumetupa mwanya mkubwa UKAWA kushinda ngazi hiyooo. PEOPLES POWER
tatu anapita
amina salum ali
j.makamba
j.magufuli
raisi wenu n
amina s ali
makamu january makamba
waziri mkuu magufuli ama william lukuvi toppp
cu nyt
Mabadiliko ya safariJamani bado tu hajarudishwa mtu wetu
Kuishi kwingi kuona mengi.... Sipingi hata neno moja.Watanzania wote ambao mmesikiliza .mahojiano yaliyomallizika sasa hivi Azam/chanel 10 kati ya Charles Hilary. Na mzee Kingunge sentensi ya mwisho ya mzee huyu kasema."Kama viongozi wa chama hawatawaleta jina linalokubalika kwa wanachama na nje ya wanachama basi watakuwa na mpango wa kuangusha chama na hatimaye kusababisha vurugu ktk nchi." Mwisho wa kunukuu.Tutafakari kwa pamoja.
Acheni ujinga wa kuingiza UDINI hapa, katika watano Migiro, Magufuri na Membe dini moja na Amina na Makamba dini nyingine udini uko wapi hapo? Msitudanganye Fisadi mwenzenu hakupita mnawaza mirija yenu mtaiweka wapi sasa mnataka kuleta uchochezi, Shame on you!!
wanatanzania kama kweli tuna nia njema na mama Tanzania{kama mbatia anavyopenda kuita} hiki chama kinapashwa kupumzishwa kushika hatamu, kupitia huu mchakato nimejifunza mambo kadhaa
1.huwezi kuwa kiongozi ndani ya ccm hata kama unakubalika na wanachama wote wa ccm
2.unaweza kuwa kiongozi wa ccm pale tu kiongozi/viongozi wa juu wa chama,pamoja na familia zao,tunalionna hili kwa mwenyekiti
3.matajiri wanawachagulia ccm/Tanzania viongozi
Hapo wanao baki ni
1. B. Membe
2. J. Makamba,
3. A. Ally
mwisho wa kuwasilisha
Wampe jamani Magufuri
Kuna wendawazimu humu wanajifanya wanamfahamu Membe wakati hawamfahamu matokeo yake wanaemfahamu tangu zamani tunawachora tu na kuwaona kama wehu waokoteza maneno ya vichochoroni...Acheni ujinga wa kuingiza UDINI hapa, katika watano Migiro, Magufuri na Membe dini moja na Amina na Makamba dini nyingine udini uko wapi hapo? Msitudanganye Fisadi mwenzenu hakupita mnawaza mirija yenu mtaiweka wapi sasa mnataka kuleta uchochezi, Shame on you!!
Wampe jamani Magufuri
tetesi : lowassa kaanguka gafla
Tayar kule membe out na bi mzenj
Karibu kesho saa 4. Majina ni kesho