kama ndivyo bora membe aondoke ila chonde chonde wasituletee m/mke
From Inside: Tatu bora(3)
▶January Makamba.
▶Magufuli.
▶Migiro tatu.
Inapangwa (Tetesi)
▶Magufuli
Anaandaliwa kuwa Rais.
sasa kama hakuna mjumbe alieingia na simu ina maana kuna baadhi ya wajumbe p.umbu zao zinakamata mtandao ama mtoa mada unataka kusema nin kwa mfano??
Nimekupenda sana yaani. Naomba tu uwe wangu. Hata kwa kuchepuka.
Kwa nini ccm wanajichaganya
Kaulize CC na kamati ya maadili wanayo makosa yake yote na hukumu wametoa wao!kwani lowasa ana kosa gani tusimhukumu mtu bila kujua
hivi unafikir membe mtu sahihi kwa kuongoza hii nchi?
Asha migiro anaweza kuongoza hii nchi?
January makamba anaweza kuongoza hii nchi?
Amina anaweza kuongoza hii nchi?
Hapo labda magufuli peke yake lakin magufuli sio chaguo lao
sasa sijui ww mkuu unaonaje