Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Jamani mtatuua kwa presha.Tusubiri msemaji wa chama aje afunguke.
 
Majina matano yatatolewa na Kamati Kuu itakayokaa kuanzia saa nane mchana leo!

Hujui Unachoongea Wewe Na Usitake Kuchukua Umaarufu Kwa Kutaka Kubishana Na Mimi Na Ni Vema Kama Hujui Nini Kinaendelea Ndani Ya Kikao Ukae Kimya Tukujuze.

Na Nilitaka Nimwage Kila Kitu Hadharani Ili Watu Humu Wajue Lakini Umeshaniudhi Na Siwataji Tena Hao 5 Bora Waliopenya Na Kwa Taarifa Yako Majina Yao Ninao Na Mpaka Watakaopitishwa 3 Bora Baadae Nawajua. Utabaki Hivyo Hivyo POPOMA Wewe!

Umewaponza Wenzio Katika Kujua Hayo Majina Na Wape Wewe Basi Hayo Unayoyajua!
 
Samahan wadau naomba mnieleweshe,kati ya kamati ya maadili ya CCM na baraza la maadili kwa watumishi wa umma ya Jaji msumi ni kipi kina meno????
 
Mkuu, achana na huyo jamaa. Wewe tupe hiyo tano bora yako then tulinganishe na yatakayotangazwa rasmi
 

Ulishawah kutuambia prof Muhongo atakua rais wa Tanzania.Haya tunasubiri
 
Team Lowasa kama mlivyofanya vizuri kula hela,mfanye vizuri pia kwenye kumbembeleza mzee asilie
Umeona eeeh! Wameshakula za fisadi hutawaona wala kuwasikia. Hakutakuwa na Friends of Lowasa, Team Lowasa wala 4U MOVEMENT
 
Jamani mm naomba kuuliza swali la kizembe, hiv hapo kuna mochware, ICU au MOI? Manake lolote laweza tokea muda wowote?
 
Jamani mm naomba kuuliza swali la kizembe, hiv hapo kuna mochware, ICU au MOI? Manake lolote laweza tokea muda wowote?
Gari la fisadi lina kila kitu. ICU itakuwa kwenye gari lake na mochware ni hiyo hiyo gari yake
 
Unasubiri yatangazwe???kwani huna? Nimesoma hapo juu kuwa LOWASSA hayumo au sio Lizaboni ww
Nimemwambia huyo GENTAMYTHINE. Mie najua waliomo kwenye top five ndo maana nikamwambia awataje wake ili nilinganishe na hawa nilionao ili nione kama yupo sahihi ama la
 
Ni habari njema kusikia kuwa jila la fisadi Lowasa halimo kwenye tano bora. Ni furaha iliyoje. Mliokuwa mnasema kuwa hakatwi sasa mtajibeba
mkuu ebu tupe nyepesi maana utaua watu kwa presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…