Ellyson
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 1,714
- 405
Sio lazima kiongozi bora atoke CCM.Tumuombe Mungu tumpate aliye bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima kiongozi bora atoke CCM.Tumuombe Mungu tumpate aliye bora
Umeona eeeh! Wameshakula za fisadi hutawaona wala kuwasikia. Hakutakuwa na Friends of Lowasa, Team Lowasa wala 4U MOVEMENT
Kama una info zote hizo, basi ujue umuhimu wa hiyo info ni sasa na unaitumiaje.Hujui Unachoongea Wewe Na Usitake Kuchukua Umaarufu Kwa Kutaka Kubishana Na Mimi Na Ni Vema Kama Hujui Nini Kinaendelea Ndani Ya Kikao Ukae Kimya Tukujuze. Na Nilitaka Nimwage Kila Kitu Hadharani Ili Watu Humu Wajue Lakini Umeshaniudhi Na Siwataji Tena Hao 5 Bora Waliopenya Na Kwa Taarifa Yako Majina Yao Ninao Na Mpaka Watakaopitishwa 3 Bora Baadae Nawajua. Utabaki Hivyo Hivyo POPOMA Wewe! Umewaponza Wenzio Katika Kujua Hayo Majina Na Wape Wewe Basi Hayo Unayoyajua!
1. Migiro
2. Magufuli
3. Membe
4. Ramadhani
5. Pinda
Ni habari njema kusikia kuwa jila la fisadi Lowasa halimo kwenye tano bora. Ni furaha iliyoje. Mliokuwa mnasema kuwa hakatwi sasa mtajibeba
Chinja fisadi hilo, safi sana. At least CCM sasa wanaweza kusimama mbele yetu
Unasubiri yatangazwe???kwani huna? Nimesoma hapo juu kuwa LOWASSA hayumo au sio Lizaboni ww
Ni habari njema kusikia kuwa jila la fisadi Lowasa halimo kwenye tano bora. Ni furaha iliyoje. Mliokuwa mnasema kuwa hakatwi sasa mtajibeba
Kwani Wewe Mkoroshokigoli Sifa Za Mnafiki Huzijui? Yeye Si Ameshatoa Hadi Uzi Wake Kuwa Lowassa Kakatwa Sasa Ananiuliza Nini Tena?
Nimemwambia huyo GENTAMYTHINE. Mie najua waliomo kwenye top five ndo maana nikamwambia awataje wake ili nilinganishe na hawa nilionao ili nione kama yupo sahihi ama la
ajabu ukawa nao wanasaidia ccm kupata mgombea
Hizo ahadi mlizopewa mbona zinatisha! Kapimeni kwanza
Asiyekujua atakuamini.