Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Chinja fisadi hilo, safi sana. At least CCM sasa wanaweza kusimama mbele yetu
 
Hujui Unachoongea Wewe Na Usitake Kuchukua Umaarufu Kwa Kutaka Kubishana Na Mimi Na Ni Vema Kama Hujui Nini Kinaendelea Ndani Ya Kikao Ukae Kimya Tukujuze. Na Nilitaka Nimwage Kila Kitu Hadharani Ili Watu Humu Wajue Lakini Umeshaniudhi Na Siwataji Tena Hao 5 Bora Waliopenya Na Kwa Taarifa Yako Majina Yao Ninao Na Mpaka Watakaopitishwa 3 Bora Baadae Nawajua. Utabaki Hivyo Hivyo POPOMA Wewe! Umewaponza Wenzio Katika Kujua Hayo Majina Na Wape Wewe Basi Hayo Unayoyajua!
Kama una info zote hizo, basi ujue umuhimu wa hiyo info ni sasa na unaitumiaje.
By kesho kutwa hiyo info itakuwa useless.
 
Ni habari njema kusikia kuwa jila la fisadi Lowasa halimo kwenye tano bora. Ni furaha iliyoje. Mliokuwa mnasema kuwa hakatwi sasa mtajibeba

Baba yako membe ndiye atakuwa wa kwanza kukatwa kwani ndiye Fisadi Mkuu pia Mafisadi wengine watafuata maana hakuna Msafi ndani ya hao 38 wote waliotangaza Nia , hata wewe Lizabon ni Fisadi mkubwa kwani umepokea mapesa mengi ya Rushwa ili umchafue Lowasa .
 
Hivi nyie wote wanasisiemu au mbapenda kuona yanayoendelea ndani ya sisiemu?
 
Nimemwambia huyo GENTAMYTHINE. Mie najua waliomo kwenye top five ndo maana nikamwambia awataje wake ili nilinganishe na hawa nilionao ili nione kama yupo sahihi ama la

Sipo Sahihi Lizaboni Ila Wewe Naamini Ndiyo Upo Sahihi Kwa Kila Ukisemacho Humu. In Short Wewe Ndiyo Think Tank Wetu Humu JF Kisiasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom