Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,073
- 1,862
Wengine someni tu hata hamuelewi kabisa haya mambo.Kamati kuu inakalia kikao saa 3 ucku kutafuta 3 bora.
Magufuli ataliangamiza hili taifa, mkurupukaji sana. hao wanawake bure kabisaa.
Alikuwa Waziri wa Fedha wakati Dr Salmin Amour kule Zanzibar.
Jk kamleta kwenye game kama kijana wake.
Wote hao watano waliopitishwa na vijana wa JK.
Magufuli yeye ndiyo waziri ambaye hakumungusha JK ni kijana wake pia ni kijana wa Mkapa.
Makamba yeye kaletwa pale kumchomoa ni rahisi, kuna uwezekano akapewa Wizara ya Mambo ya Nje.
Kimsingi JK kafanikiwa kiweka vijana wake.
Huu ni mtazamo wangu tu lakini.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania ni Magufuli na Amina ni Makamu wa rais.
Umepatia. Lakini hagombei urais wala umakamu!Mbona mkeo nae kajichubua na bado upo nae?
Hivi hao wanaoimba kuwa wana imani na lowassa, wanahisi kuwa uamuzi utabatilishwa!!
Huenda kuna mkono wa mataifa makubwa, nilikuwa na hofu na Membe lakini hawa akina mama wawili kuna ishu inaweza kutokea na tukashangazwa.I smell something fishy! Hivi Migiro si amewahi kuwa kiongozi wa kimataifa?ni mwanamke na pia ni international figure! Well..well..well, , tulishatahadharishwa humu kuwa care na hawa watu wa kimataifa, some big fishes are behind them...mnamtaja Magufuli but...but..I smell sonething..
Mbona mkeo nae kajichubua na bado upo nae?
Wengine someni tu hata hamuelewi kabisa haya mambo. > Magufuli ndo mambo yote
Wengine someni tu hata hamuelewi kabisa haya mambo.
Hata kama hana sifa??
Nasisitiza John Pombe Magufuli na siyo Membe wandugu nadhani ccm kimeamua kurudisha hadhi ya Chama