Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
gamba moja toka Zenji anaandaliwa kuwa makamu wa Rais
pia ni baloz wa AU kwenye umoja wa mataifa kama sikosei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gamba moja toka Zenji anaandaliwa kuwa makamu wa Rais
Msome hapa chini Nkwingwa...Hivi huyu Amina Salum ndo nani kwani?
Nepi njoo utwambie yaliyojiri.
ccm ni wale wale tu.hamna kituNasisitiza John Pombe Magufuli na siyo Membe wandugu nadhani ccm kimeamua kurudisha hadhi ya Chama
Kama ndio hivi basi mzee wa Chato amechukua urais, Ikulu inanukia kwa Magufuli. Watanzania wengi wanamkubali sana Magufuli. Akipenya 3 bora yeye Rais
Tusubiri taarifa rasmi
Hivi huyu Amina Salum ndo nani kwani?
Kama hii itakuwa kweli basi Derimto nitakupa heshima ya kuwa shujaa wa mwaka2015
Clouds FM Moja kwa moja Dodoma wanasubiri tu Nape athibitishe
Hivi huyu Amina Salum ndo nani kwani?
Vitu vinavyoongoza kukatwa
keki
umeme
kiuno
Lowasa
Makamu wa Rais anaweza kuwa yule mama aliyekuwa makamu wa Sitta kule #BMK . Huyu Amina kajichubuachubua hadi basiMagufuli Rais, Amina Salim Ali Makamu wa Rais
Bado cjaona raise bora ukawa tu aaaarghKama ndio hivi basi mzee wa Chato amechukua urais, Ikulu inanukia kwa Magufuli. Watanzania wengi wanamkubali sana Magufuli. Akipenya 3 bora yeye Rais
Kuna kila dalili CCM kwa mara ya kwanza kumsimamisha mgombea mwanamke katika nafasi ya Urais.
hivi nyuzi zinaendaje leo?,naona kama napiga marktime tu