Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wanawake wakuwezeshwa, wanaweza, naona haka ka musemo kanaenda kufanya kazi sasa. Stay tuned
 
Walevi sasa hivi ni team 'Pombe", Wakiamini watakunywa pombe mpaka baasi
Wenye vibaka mtaani kwao ni team "Magufuli" wakiamini watapata makufuri imara na bora 😅😊😊😊

Ambao hawajabatizwa ni team "John" wakiamn watampata mbatizaji; Ni shigida sheeeeedah, team ya JOHN MAGUFULI POMBE
 
Rasmi sasa top 3 ni
Magufuli
A.R Migiro
Amina Ally
I smell revenge hapo from camp Lowassa na ndio nilijua kitatokea na kilichobaki ni kufanyiziana tuu tukose wote na sitashangaa Amina Ally akiwa CCM nominee...na upinzani wakijiweka vizuri kidogo tuu sioni Amina akishinda general election,mwisho wa CCM unakaribia.
 
Ndio kaka nina uhakika 100% chanzo kutoka ndani ya kikao,kama sio hivyo nipigwe ban 10yrs

kna wenzi kibao walisema hivyo jana ...kuwaamini ccm mpaa watangaze matokeo......
 
Kuna kila dalili CCM kwa mara ya kwanza kumsimamisha mgombea mwanamke katika nafasi ya Urais.
 
Kama hii itakuwa kweli basi Derimto nitakupa heshima ya kuwa shujaa wa mwaka2015
 
Magufuli Rais, Amina Salim Ali Makamu wa Rais

Walevi sasa hivi ni team 'Pombe", Wakiamini watakunywa pombe mpaka baasi.

Wenye vibaka mtaani kwao ni team "Magufuli" wakiamini watapata makufuli imara na bora 😅😊😊😊

Ambao hawajabatizwa ni team "John" wakiamini watampata mbatizaji; Ni shigids sheeeeedah, team ya JOHN MAGUFULI POMBE ni paradox sana!!!!
 
Back
Top Bottom