PeterClavery
Member
- Dec 5, 2013
- 24
- 2
Hapa Magufuri ndo mgombea wa urais ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa Hasira za niniNaona sasa leo jf tuwaachie wana CCM Maana siku zote nimewaambia chama chenu ni cha hovyo mnakataa mnamalizana wenyewe kwa wenyewe,Rushwa inatembea hapo Dodoma isivyo kawaida nadhani sasa mmepata somo zuri la nn tunachosema kazi kwenu.
Kuna rumours pia ya Migiro, Membe na Amina Salum.
Babako
Weee nchi hii si ya LOWASA wala MEMBE ni ya WATANZANIA. Lowasa awe gentleman kama Mh. Mwandosya akubali matokeo. Kulikuwa na wagombea 38 waliorudisha fomu na bado 33 hawajalalamika. Lowasa anataka kufanya nini na rushwa yake na Gwajima mzee wa poda na Kingunge.
Nchi hiko imara na Mh. Rais ameonyesha ukomavu wa hali ya juu na kwa tukio hili ameturejesha wengi CCM na tunamuunga mkono. Hatuwezi kuongozwa kwa mafuriko.
Yaone mateso haya tuliyo nayo ya dhuluma na ufisadi. Lazima ifike mwisho na Mungu atatusaidia. AMENI
Membe keshakatwa mkuu. Makamba pia.
BAsi Magufuli ana nafasi kubwa
Nasisitiza John Pombe Magufuli na siyo Membe wandugu nadhani ccm kimeamua kurudisha hadhi ya Chama
Wacheni kutuzebeza bwana3 Bora Ni MembeMagufuliAmina Ali
Wasukuma hoyeeere
Kama ndio hivi basi mzee wa Chato amechukua urais, Ikulu inanukia kwa Magufuli. Watanzania wengi wanamkubali sana Magufuli. Akipenya 3 bora yeye RaisTaarifa za uhakika kutoka ndani ni kama ifuatavyo
1. John P. Magufuli
2. Amina Ally
3. Asharose Migiro