Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Naona sasa leo jf tuwaachie wana CCM Maana siku zote nimewaambia chama chenu ni cha hovyo mnakataa mnamalizana wenyewe kwa wenyewe,Rushwa inatembea hapo Dodoma isivyo kawaida nadhani sasa mmepata somo zuri la nn tunachosema kazi kwenu.
sasa Hasira za nini
ulitaka tumpe Lowassa anayehonga ili UKAWA wapite
ni lini na wapi? Magufuli kahonga?
waachie CCM wajitanue kwani wanamsubiri Dr Slaa aliyejitangazia Urais na kumuacha Lipumba atakutana na Magufuli
 
Weee nchi hii si ya LOWASA wala MEMBE ni ya WATANZANIA. Lowasa awe gentleman kama Mh. Mwandosya akubali matokeo. Kulikuwa na wagombea 38 waliorudisha fomu na bado 33 hawajalalamika. Lowasa anataka kufanya nini na rushwa yake na Gwajima mzee wa poda na Kingunge.
Nchi hiko imara na Mh. Rais ameonyesha ukomavu wa hali ya juu na kwa tukio hili ameturejesha wengi CCM na tunamuunga mkono. Hatuwezi kuongozwa kwa mafuriko.
Yaone mateso haya tuliyo nayo ya dhuluma na ufisadi. Lazima ifike mwisho na Mungu atatusaidia. AMENI

Umenena vyema.
 
Kikwete mwenyewe mchafu tu hakuna msafi humo hata mmoja.angekuwa msafi asingeshinikiza miswada ipitishwe harakaharaka kama sio ufisadi ni nini.acha mbwembwe wewe.umekula nini wewe au umenunuliwa
 
Hata wamuweke nani hadhi ya chama imeshapotea na si rahisi kurudi. Utarudisha hadhi ya chama huku ukiwa umeendelea kuwakumbatia mafisadi na wapokea rushwa akina Tibaijuka, Chenge, Ngeleja, Rostam na wengine chungu nzima?

Nasisitiza John Pombe Magufuli na siyo Membe wandugu nadhani ccm kimeamua kurudisha hadhi ya Chama
 
jamani kwanini mnakimbilia kuanzisha thread zisizo na mbele wala nyuma. kuna Uzi upo hapa tangu Jana kwa nini usijazie nyama unakimbilia kuanzisha Uzi? huu ni ubweege
 
Nko ukumbi wa ccm saiv wajumbe wa kamati ndo wameanza kuwasili tayar kwa kuanza kikao cha kuchagua 3 bora. ntawa-updates muda c mrefu.
 
Taarifa za uhakika kutoka ndani ni kama ifuatavyo
1. John P. Magufuli
2. Amina Ally
3. Asharose Migiro
Kama ndio hivi basi mzee wa Chato amechukua urais, Ikulu inanukia kwa Magufuli. Watanzania wengi wanamkubali sana Magufuli. Akipenya 3 bora yeye Rais
 
Back
Top Bottom