Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kakatwa fisadi Lowassa na mabilioni yake ya kifisadi na makundi yake ya watu chungu nzima aliowanunua kwa kuwapa rushwa. Juhudi zake za kutoa rushwa nyumba za ibada pia hazikufua dafu na bado wamemkata pamoja na vitisho chungu nzima. Kama fisadi Lowassa kakatwa Magufuli pia anaweza kukatwa kirahisi mno.

Ole wao wamkate Magufuli...watanzania walio wengi hawawezi kuelewa kiswahili cha Nape
 
Sasa raisi Magufuli, waziri Mkuu Muhongo niipate Tanzania ninayoiota siku zote. Ni kazi na kufikia malengo tu kwenye standards za juu kabisa.
 
Sijui jema lipi lifanywe ili kuona CCM ipo sahihi.
Comment nyingi ziliandikwa kuwa CCM ikimsimamisha Lowasa ndo itakuwa mwisho wake, amekatwa watu wanadai UKAWA itashika dola. Au isingemsimamisha mgombea?
umenena mkuu chama kikongwe kama hiki ili kianguke ni lazima wakologane ila bado uwezo wa kutengeneza unafki bado wanao ,yaani ule unafki wa kusifiana kwenye majukwaa
 
Naona wafuasi wa nywele nyeupe wameamua hasira zao wapeleke kura kwa magufuli
 
Kuna kila dalili CCM kwa mara ya kwanza kumsimamisha mgombea mwanamke katika nafasi ya Urais.

Wasimamishe tuu, MWANAMKE hawezi shinda urais Tz kwa sasa! Wakimchagua ndo kaburi lao maana hata wanawake wenyewe hawatampa kuta zao!
 
team lowasa itamchagua amina salum kukomoa hao jamaa mtaona kazi ya lowasa ndo maana ametulia tu amina atapambana na slaa
 

Wale ni watu timamu...hawana sababu ya kumkata JP unless kama lengolao ni CCM Kushindwa
 
Chadema/UKAWA jipangeni Magufuli huyo sijui mtakuja na sera gani ile orodha yenu ya mafisadi sijui bado ina nguvu.

Cc JokaKuu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu Amina Salum ndo nani kwani?


Wote ni wale wale as long wapo ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…