Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kakatwa fisadi Lowassa na mabilioni yake ya kifisadi na makundi yake ya watu chungu nzima aliowanunua kwa kuwapa rushwa. Juhudi zake za kutoa rushwa nyumba za ibada pia hazikufua dafu na bado wamemkata pamoja na vitisho chungu nzima. Kama fisadi Lowassa kakatwa Magufuli pia anaweza kukatwa kirahisi mno.

Ole wao wamkate Magufuli...watanzania walio wengi hawawezi kuelewa kiswahili cha Nape
 
Sasa raisi Magufuli, waziri Mkuu Muhongo niipate Tanzania ninayoiota siku zote. Ni kazi na kufikia malengo tu kwenye standards za juu kabisa.
 
Sijui jema lipi lifanywe ili kuona CCM ipo sahihi.
Comment nyingi ziliandikwa kuwa CCM ikimsimamisha Lowasa ndo itakuwa mwisho wake, amekatwa watu wanadai UKAWA itashika dola. Au isingemsimamisha mgombea?
umenena mkuu chama kikongwe kama hiki ili kianguke ni lazima wakologane ila bado uwezo wa kutengeneza unafki bado wanao ,yaani ule unafki wa kusifiana kwenye majukwaa
 
Naona wafuasi wa nywele nyeupe wameamua hasira zao wapeleke kura kwa magufuli
 
Kuna kila dalili CCM kwa mara ya kwanza kumsimamisha mgombea mwanamke katika nafasi ya Urais.

Wasimamishe tuu, MWANAMKE hawezi shinda urais Tz kwa sasa! Wakimchagua ndo kaburi lao maana hata wanawake wenyewe hawatampa kuta zao!
 
team lowasa itamchagua amina salum kukomoa hao jamaa mtaona kazi ya lowasa ndo maana ametulia tu amina atapambana na slaa
 
Kakatwa fisadi Lowassa na mabilioni yake ya kifisadi na makundi yake ya watu chungu nzima aliowanunua kwa kuwapa rushwa. Juhudi zake za kutoa rushwa nyumba za ibada pia hazikufua dafu na bado wamemkata pamoja na vitisho chungu nzima. Kama fisadi Lowassa kakatwa Magufuli pia anaweza kukatwa kirahisi mno.

Wale ni watu timamu...hawana sababu ya kumkata JP unless kama lengolao ni CCM Kushindwa
 
Hivi huyu Amina Salum ndo nani kwani?

Balozi Amina alihitimu Chuo Kikuu cha New Delhi , India - Shahada ya Uchumi (B.A), mwaka 1979, pia alisomea masuala ya utawala wa fedha na utafiti wa uendeshaji kwenye Taasisi ya Uongozi (Institute of Management) Pune, India mwaka 1980, pia mwaka 1981 alihitimu Chuo Kikuu cha Pune, India - (Symbiosis College of Management) -MBA in Marketing (Masoko) na mwaka 1983 Chuo Kikuu cha Helsinki, Finland - Diploma ya utafiti wa masoko na uuzaji wa bidhaa nje (mafunzo maalum ya PRODEC).

Nyadhifa alizoshika



Mwaka 1981 hadi 1982, Mchumi Mwandamizi -Tume ya Mipango Zanzibar, mwaka 1982 hadi 1983, Mkurugenzi Biashara za Nje - Wizara ya Biashara ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mwaka 1983 hadi 984, Katibu Bodi ya Biashara Zanzibar- Wizara ya Biashara Zanzibar.



Nafasi nyingine ni, mwaka 1984 hadi 1985, Mchumi Mwandamizi - Tume ya Mipango, Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar, mwaka 1985 hadi 1990- Mbunge Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, mwaka 1985 hadi 1986- Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwaka 1986 hadi 1989- Waziri wa Nchi ,Wizara ya Mambo ya Nje.

Wote ni wale wale as long wapo ccm
 
Back
Top Bottom