Sasa raisi Magufuli, waziri Mkuu Muhongo niipate Tanzania ninayoiota siku zote. Ni kazi na kufikia malengo tu kwenye standards za juu kabisa.
Magufuli anafaa
Na yenyewe yapaswa kujulikana mkuu si upuuzi.. Atakayepatikana Dodoma ataenda kupambana na WEAPON
acha wehu,chama gani kimewahi kutoa tamko kumkubali magufuli?
Kama ni kweli basi itakuwa ni habari njema
JK pia kaimba! Kinana alikomaa
Kuna kila dalili CCM kwa mara ya kwanza kumsimamisha mgombea mwanamke katika nafasi ya Urais.
hiki kiingereza cha wapi 'good an option'??
Chadema/UKAWA jipangeni Magufuli huyo sijui mtakuja na sera gani ile orodha yenu ya mafisadi sijui bado ina nguvu.
Cc JokaKuu.
Walimtaka lowassa ili wapate pa kukinjia chama badala yake tumewaletea MSAFI wanahaha hawajui waje na mbinu gani.