Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kama ni kweli Magufuli siyo mbaya, ataleta changamoto kubwa kwenye uchaguzi mpaka kwenye maendeleo ya nchi.
 
Kama ni kweli basi itakuwa ni habari njema

Habari njema ya wapi wewe,subirini camp Lowasa wamwingize Amina Ally ili mpigwe chali general election....kwa kumuondoa Lowasa mwisho wenu unakaribia labda mumpigie magoti Lowasa awasaidia kumpitisha magufuli.
 
JK pia kaimba! Kinana alikomaa

Hahaaaa...jamaa alikuwa keshachanganyikiwa akajua wanaimba .....tunaimani na kikwete. Alipopata fahamu hakuamini kuwa wanamtaja lowassa. Akachanganyikiwa mara mbili mpaka kiti akawa hakioni
 
kikwete tokea uwe raisi wa nchi hii jana ndio umeonesha njia. umevuna wanachama wa ukweli (sio wafwata upepo kama walivyo hao team mvi). fanyeni mlete top three tuipitishe ilani tulale sie.

KiDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Chadema/UKAWA jipangeni Magufuli huyo sijui mtakuja na sera gani ile orodha yenu ya mafisadi sijui bado ina nguvu.

Cc JokaKuu.

Walimtaka lowassa ili wapate pa kukichinjia chama badala yake tumewaletea MSAFI wanahaha hawajui waje na mbinu gani.
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke akiwa rais Tanzania atateseka.... Kama Dk JK (mwenye busara na utulivu) ameteseka kuvunja baraza la mawaziri,kubadili wakuu wa mikoa,wilaya n.k,Mh Anna Makinda kateseka Bungeni,mwanamke labda awe makamu,hali si shwari kwa sasa mwanamke akipewa nchi!.
 
Hawawezi kupitisha wanawake wawili kuwa mgombea rais na mgombea mwenza. Coz yule wa zenji tayari ashakwaa ugombea mwenza. Na kwa jinsi kiktwete alivyovurugana na wakristo hawawezi kuleta muislamu tena kututawala. So magufuli ana mwanya mzuri wa kupita. Na mama migiro ni kipenzi cha mkwere so watu wa lowassa hawawezi kumpa kura wako radhi wampe mama mzenji au magufuli kuliko asha..................................mwisho wa yote bi.kiroboto ameshaharibu sifa za wanawake kuongoza so asha nae ni walewale
 
Back
Top Bottom