Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ndivyo nilivyoomba jana kwenye maoni yangu nilipoanzisha Thread ya kuwaomba CCM Watuletee Magufuli kama mgombea anayekubalika na vyama vyote

Labda kwa maccm tu, hakuna mtu msafi ccm yote mafisadi tu
 
Wizara ya ujenzi kwenye ripoti ya mwisho ya CAG ilikumbwa na ufisadii wa shiling ngapi vile?
 

ndo maana mimi nikasema ngoja matokeo yatoke ndo tutajua...watu wamejipanga kwenye hii nafasi....mazingira yote ya kuenguliwa edo mapema ni watu waliojipanga kuhakikisha edo haleti jam ndo maana akakatwa mapemaaaaaa....hapo walipofikia hakuna cha kuwashinda kirahisi tu wabadili mtizamo wao...
 
Kwa kifupi,CCM mwaka huu inaweza kutoa picha ya anguko kuu! kuelekea 2020! endapo watagawanyika!
 
Walimtaka lowassa ili wapate pa kukichinjia chama badala yake tumewaletea MSAFI wanahaha hawajui waje na mbinu gani.
Kuna mtu kakwambia haya mambo huyajui unajua tu diamond na alikiba, sasa nakubaliana nae, hujui chochote hapa, nenda celebrity ndio saizi yako mambo ya umbea,sio hapa maana unaandika usichokijua, nani msafi?
 
Walimtaka lowassa ili wapate pa kukichinjia chama badala yake tumewaletea MSAFI wanahaha hawajui waje na mbinu gani.
magufuri alisimamia kwa ukamilifu mnada wa nyumba za serikali na hiyo kitu itamtafuna hadi kaburini , kumbuka hili ni kati ya mambo mabaya kabisa kuwahi kufanywa na viongozi katika nchi hii .
 
Au wataamua kuwaliza wote kwa kura zao kwenda kwa amina salum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…