Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Atarudisha nyumba za serikali kweli zilizouzwa kifisadi huyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema/UKAWA jipangeni Magufuli huyo sijui mtakuja na sera gani ile orodha yenu ya mafisadi sijui bado ina nguvu.
Cc JokaKuu.
Ndivyo nilivyoomba jana kwenye maoni yangu nilipoanzisha Thread ya kuwaomba CCM Watuletee Magufuli kama mgombea anayekubalika na vyama vyote
Walimtaka lowassa ili wapate pa kukinjia chama badala yake tumewaletea MSAFI wanahaha hawajui waje na mbinu gani.
mi nimefurahi mpaka nimejipa mapumziko ya siku moja.
Alieuza nyumba za serikali?
unachapa Kazi unapata kipato then kinapotea kwa Kuwa mifuko yako imetoboka,je kuchapa Kazi kwako kutasaidia nn?Ifike Muda watanzania tuwe tuna wathamini wachapa kazi
I smell something fishy! Hivi Migiro si amewahi kuwa kiongozi wa kimataifa?ni mwanamke na pia ni international figure! Well..well..well, , tulishatahadharishwa humu kuwa care na hawa watu wa kimataifa, some big fishes are behind them...mnamtaja Magufuli but...but..I smell sonething..
Wizara ya ujenzi kwenye ripoti ya mwisho ya CAG ilikumbwa na ufisadii wa shiling ngapi vile?
Kuna mtu kakwambia haya mambo huyajui unajua tu diamond na alikiba, sasa nakubaliana nae, hujui chochote hapa, nenda celebrity ndio saizi yako mambo ya umbea,sio hapa maana unaandika usichokijua, nani msafi?Walimtaka lowassa ili wapate pa kukichinjia chama badala yake tumewaletea MSAFI wanahaha hawajui waje na mbinu gani.
magufuri alisimamia kwa ukamilifu mnada wa nyumba za serikali na hiyo kitu itamtafuna hadi kaburini , kumbuka hili ni kati ya mambo mabaya kabisa kuwahi kufanywa na viongozi katika nchi hii .Walimtaka lowassa ili wapate pa kukichinjia chama badala yake tumewaletea MSAFI wanahaha hawajui waje na mbinu gani.
Wale ni watu timamu...hawana sababu ya kumkata JP unless kama lengolao ni CCM Kushindwa
Jamaa mchapa kazi huyu atawanyoosha JK mlikuwa mnasema dhaifu huyu mtasema dikteta.Unataka kujua ufisadi wa magufuli ngoja tutakuonyesha.