Nasema kwa mtifuano huu Rais atakuwa Mwanamke na Makam wake pia atakuwa thy same sex unabisha achaaa, teh teh teh teh teh.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ni kama ifuatavyo
1. John P. Magufuli
2. Amina Ally
3. Asharose Migiro
Kuna watu wanachekesha sana. Kwani Magufuli aliuza nyumba zote na fedha kaweka mfukoni mwake?
Kuna watu wanachekesha sana. Kwani Magufuli aliuza nyumba zote na fedha kaweka mfukoni mwake?
Mkuu, achana na hao jamaa. Wamechanganyikiwa baada ya fisadi kukatwa
Kidumu chama tawala
Hawawezi kupitisha wanawake wawili kuwa mgombea rais na mgombea mwenza. Coz yule wa zenji tayari ashakwaa ugombea mwenza. Na kwa jinsi kiktwete alivyovurugana na wakristo hawawezi kuleta muislamu tena kututawala. So magufuli ana mwanya mzuri wa kupita. Na mama migiro ni kipenzi cha mkwere so watu wa lowassa hawawezi kumpa kura wako radhi wampe mama mzenji au magufuli kuliko asha..................................mwisho wa yote bi.kiroboto ameshaharibu sifa za wanawake kuongoza so asha nae ni walewale
Hiii umeitoa wap derimto??
Hivi uamuzi wa kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni wake binafsi ama wa Baraza la Mawaziri??Alieuza nyumba za serikali?
kura zinzpigwa na watu wa el ndio maana unaona matokeo hayo membe kachapwa na makamba sasa wanaenda kumchapa migiro na magufuli ili abaki amina na kuwakomoa jamaa waliomkata .labda mikakati ya goli la mkono ije kuharibu lakini tim el inataka kushangaza watu sio kujenga utamsikia magufuli chali
Hivi uamuzi wa kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni wake binafsi ama wa Baraza la Mawaziri??Nani alisimamia uporaji wa nyumba za serikali?
Hiyo umeitoa wapi mkuu coz mkutano unakaliwa saa 3 ucku
Interesting. As long as maslahi ya taifa yatakua mbele kuliko uswahiba hatutajali udikteta wake.Jamaa mchapa kazi huyu atawanyoosha JK mlikuwa mnasema dhaifu huyu mtasema dikteta.
ACHA KUPOTOSHA WATU kwan mtangazaj wa CLOUDS MUSA HUSEIN AMESEMA akiwa anayataja majna hayo kuwa NI TETES TU HANA UHAKIKA NA WATU WASIMNUKUU MAANA AMEPATA KAMA TETES TU..sasa wew umekimbilia haraka kuja kudanganya watu hapaa!