Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Taarifa za uhakika kutoka ndani ni kama ifuatavyo
1. John P. Magufuli
2. Amina Ally
3. Asharose Migiro

ACHA KUPOTOSHA WATU kwan mtangazaj wa CLOUDS MUSA HUSEIN AMESEMA akiwa anayataja majna hayo kuwa NI TETES TU HANA UHAKIKA NA WATU WASIMNUKUU MAANA AMEPATA KAMA TETES TU..sasa wew umekimbilia haraka kuja kudanganya watu hapaa!
 
Kuna watu wanachekesha sana. Kwani Magufuli aliuza nyumba zote na fedha kaweka mfukoni mwake?

waache wana hasira manake walitegemea Lowassa atapita wauze kwa sera za zilipendwa za richmond badala yake wamakipata wasichotegemea wanabakia kutafuta makosa hata yasiyowazi wazi. kama magufuli alijiuzia hizo nyumba akazimiliki yeye basi waweke ushahidi
 
Kuna watu wanachekesha sana. Kwani Magufuli aliuza nyumba zote na fedha kaweka mfukoni mwake?

Aliyeuza nyumba zile ni Mkapa. Magufuli alikuwa mtekelezaji wa agizo la Mkapa. Kwa nini wanambebesha zigo lisilo lake? Lile zoezi wote wanajua lilivyofanyika kwa amri ya Ikulu ya mkapa. Ni sawa na kumlaumu Muhongo kwa issue ya escrow! Wote tunajua amri zilikotokea.
 
Hawawezi kupitisha wanawake wawili kuwa mgombea rais na mgombea mwenza. Coz yule wa zenji tayari ashakwaa ugombea mwenza. Na kwa jinsi kiktwete alivyovurugana na wakristo hawawezi kuleta muislamu tena kututawala. So magufuli ana mwanya mzuri wa kupita. Na mama migiro ni kipenzi cha mkwere so watu wa lowassa hawawezi kumpa kura wako radhi wampe mama mzenji au magufuli kuliko asha..................................mwisho wa yote bi.kiroboto ameshaharibu sifa za wanawake kuongoza so asha nae ni walewale

Acha kujipa moyo ndugu kila kitu kiko wazi, hao wazee wa chama wanasema wanafuata kauli za mwalimu kuwa makabila makubwa hawaruhusiwi kupewa uongozi wa nchi, pia ndio kigezo cha kumtoa Legwanani..
 
kura zinzpigwa na watu wa el ndio maana unaona matokeo hayo membe kachapwa na makamba sasa wanaenda kumchapa migiro na magufuli ili abaki amina na kuwakomoa jamaa waliomkata .labda mikakati ya goli la mkono ije kuharibu lakini tim el inataka kushangaza watu sio kujenga utamsikia magufuli chali

acha kuamin maneno ya mtoa mada kayanukuu clouds na hao clouds wanasema ni tetes tu
 
Mbona katika rumours zote za "topu thirii" sioni jina la February...
 
ACHA KUPOTOSHA WATU kwan mtangazaj wa CLOUDS MUSA HUSEIN AMESEMA akiwa anayataja majna hayo kuwa NI TETES TU HANA UHAKIKA NA WATU WASIMNUKUU MAANA AMEPATA KAMA TETES TU..sasa wew umekimbilia haraka kuja kudanganya watu hapaa!

anatumika na mabosi wake kina Bashe.
 
Back
Top Bottom