KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 698
Hivi uamuzi wa kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni wake binafsi ama wa Baraza la Mawaziri??
Kigalonikidumu.
kuuza nyumba za umma tena kwa watu wengine hata wasiohusika si jambo dogo .hahaha hizo nyumba alijiuzia???
Kidumu chama tawala
Kama hii itakuwa kweli basi Derimto nitakupa heshima ya kuwa shujaa wa mwaka2015
masikini Dar yetu! Dar!Dah foleni dar hazitoisha
Aliyeuza nyumba zile ni Mkapa. Magufuli alikuwa mtekelezaji wa agizo la Mkapa. Kwa nini wanambebesha zigo lisilo lake? Lile zoezi wote wanajua lilivyofanyika kwa amri ya Ikulu ya mkapa. Ni sawa na kumlaumu Muhongo kwa issue ya escrow! Wote tunajua amri zilikotokea.
heeh hela alizokula josephine na slaa zimesababishwa na magufuli??
Hapana nacomment hivi tangu juzi, kwani umelazimishwa kusoma comment zangu???dont think ni sifa toka asubuhi unacomment kitu kimoja tu, hii ni dalili ya utoto
Hizi chuki za kidini zitakupeleka wapi? Inasikitisha sana kuona kuna watu wa aina yako.Dah afadhali magufuli hawa waislam (membe & makamba) waliokuwa wanabebwa na na kikwete wangeisilimisha nchi na kuipeleka OIC
CCM imecheza, Lowasa ni Noma. Hiyo timu ya akina NCHIMBI, Sophia na huyo Mbalisa ni wahuni wakutupwa. Waulizeni wakazi wa Songea wanalia na Jambazi Nchimbi.
Hongera CCM, Hongera Kikwete, Kinana na Nape.
Kumbe mafuriko yanaweza kuzoleka kwa mkono.
Wameshaharibu system ukawa kazi kwao,wasipochukua ndo Bas tenaaa
3 Bora Ni
Membe
Magufuli
Amina Ali