Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Dah afadhali magufuli hawa waislam (membe & makamba) waliokuwa wanabebwa na na kikwete wangeisilimisha nchi na kuipeleka OIC
 
Wajumbe kutoka k. ya ziwa wamesema Magufuri anatosha
 
Kama hii itakuwa kweli basi Derimto nitakupa heshima ya kuwa shujaa wa mwaka2015
 
Aliyeuza nyumba zile ni Mkapa. Magufuli alikuwa mtekelezaji wa agizo la Mkapa. Kwa nini wanambebesha zigo lisilo lake? Lile zoezi wote wanajua lilivyofanyika kwa amri ya Ikulu ya mkapa. Ni sawa na kumlaumu Muhongo kwa issue ya escrow! Wote tunajua amri zilikotokea.

au kumlaumu lowassa kwa ishu ya Richmond. hahahah!! baba rizi alijua kila kitu
 
heeh hela alizokula josephine na slaa zimesababishwa na magufuli??

Weee unazungumzaa tu kiushabiki ila huoni kwamba ktk usmamiz wa magufuli ktk wizara ya ujenzi amefanya mengi mabaya ingawa yapo pia mengi mazurii.
Kiongozi aliyetayari kuwafukuza watu mahala walipoishi kwa miaka mingi ili kutengeneza barabara inayodumu kwa miezi kadhaa.
 
CCM imecheza, Lowasa ni Noma. Hiyo timu ya akina NCHIMBI, Sophia na huyo Mbalisa ni wahuni wakutupwa. Waulizeni wakazi wa Songea wanalia na Jambazi Nchimbi.

Hongera CCM, Hongera Kikwete, Kinana na Nape.

Kumbe mafuriko yanaweza kuzoleka kwa mkono.
 
Jambaziii???
 
Back
Top Bottom