Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kwani Monduli kafukuzwa anachong'ang'ania ikulu ambayo hata ajachangia tofali ni kitu gani?. Awaambie Monduli wajipange rodini wampokee kama shujaa angalau ajifariji kwa wale wa nyumbani kwake
mkuu umenichekesha sana. du!
 
confirmed Makamba out of top 3

Huyo was non factor aliwekwa tuu kukamilisha list,sitashangaa camp lowasa wakitupa support yao nyuma ya Amina Ally maana there is no chance in hell Amina Ally will beat opposition in general election...hapo itakuwa mwaga mboga nimwage ugali.
 
Hapa sawa
 

Attachments

  • 1436635942634.jpg
    29.8 KB · Views: 267

Mkuu unaongea nini hapa..?

Aende wapi..?

watanzania wapo milion 40
 
If Amina Salum gets the Nod, could Membe make the coup and be the running mate?if they entince Mafuguli with PM position?

I don't see Magufuli accepting VP position, its too sterile for him. Membe anafaa kabisa kwani he is too boring.

He is also unfit for PM, since he is way too unpopular in the party.
 
UKAWA utakuja kusikia tu Fulani anagombea ... hahaha! Hii Top 3 ya CCM yeyeto atakayepita anaingia IKULU
 
hayo mambo ya nyumba yamejadiliwa kamati ya maadili na kina mkapa waliomtuma kuuza , hapa ni kwa wapiga kura hayo hayapo ukumbini acheni kuturudisha hatua nyingi nyuma
 
Haya sasa sio tetesi tena
 

Attachments

  • 1436636057486.jpg
    51.2 KB · Views: 441
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…