Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Jamani mliopo dodoma tujuzane kinachoendelea maana naona hapa kwenye jukwaa ni ramli tupu.
mchezo ushaisha huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mliopo dodoma tujuzane kinachoendelea maana naona hapa kwenye jukwaa ni ramli tupu.
mkuu umenichekesha sana. du!Kwani Monduli kafukuzwa anachong'ang'ania ikulu ambayo hata ajachangia tofali ni kitu gani?. Awaambie Monduli wajipange rodini wampokee kama shujaa angalau ajifariji kwa wale wa nyumbani kwake
confirmed Makamba out of top 3
Mimi ningekuwa Lowasa, huu ni wakati mwafaka wa kulipiza kisasi. Nitafanya hivyo kwa kuhamia chama kingine. Sijui kama anajitambua kwamba ana majority ya kura ukilinganisha na hao vilaza waliobaki. Ahamie chama kingine kukimaliza chama kilichomaliza ndoto yake aliyoishi nayo au niseme malengo yake ya kisiasa yameyeyuka. Alijiudhuru uwaziri mkuu kumstahi mshikaji wake mnafiki. Hadi mtoto wa huyo mnafiki anafanya party ndani ya mfungo.
Lowasa, CCM si mamako, babako,mwanao au nduguyo wa damu. Wengi wamefaidi fadhila zako na wema wako lakini sasa wewe ni fisadi. Toka CCM, watanzania kwanza hawakitaki chama hiki!
Mkuu unaongea nini hapa..?
Aende wapi..?
watanzania wapo milion 40
Ukichangia na Ana alivo haribu bungeni sina imani nao kabisa. Hasa kwa nchi yetu bado sana. Ila ndo vzuri Ukawa wapate mteremko.ccm mkijiloga mkaleta mwanamke ukawa hawapigi ata kampeni