Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Haya ni mafuriko....Naona ccm wanataka kutuletea mgombea Mwanamke this time..!!

Mimi tangu awali nimekuwa nikitabiri Magufuli kuwa mgombea wa ccm, ila kwa mchakato unavyokwenda, sioni ni kwa namna gani Magufuli aneweza kutoboa pale Mkutano mkuu.. Hivi wale Timu Lowassa wanaweza kumpa kura Magufuli? Magufuli ni mtu kaksi sana sidhani kama anaweza kuwafuga wachafuwachafu kama kina Timu Ufisadi na kundi lake..

Anyway tusubiri....!!!

BACK TANGANYIKA
 
Mkimwaga mboga tunamwaga ugali

ndio usemi wa sasa hapa.dodoma..wajumbe wameapa kumpa.amina s ali labda awahi mbele ya haki

yuko hai hiyo ndie.wanamchagua...sty tuned
 
Amina hapo keshapata at least ugombea mwenza. Hongera zake ..
 
bora apite magufuli afadhari roho itatulia manake hii nchi ilipofika inatakiwa kupelekwa kibabe

Matokeo 3 bora ya Urais CCM

▶Magufuli kura 290

▶Amina kura 284

▶Migiro kura 280

▶Makamba kura 124

▶Membe kura 120
 
Nape na Kinana walifanya homework kwa kuwasikiliza wanachama. Wanajua kuwa hawa wapiga debe tunaowasikia sana ni ma "middle men" ambao wengi walipata uongozi ndani ya chama kwa kununua (wajumbe wa NEC na wajumbe wa mkutano mkuu). Wanajua inside out kuwa wapiga kura wa kawaida wamechoshwa na uchafu ndani ya chama. They can afford to neglect kelele za hao wa NEC na wajumbe wa mkutano mkuu sababu wanajua wanajiwakilisha wenyewe na maslahi yao tu. The real voter wants to see a clean CCM!! Isiposafishwa CCM hali ni mbaya kwenye uchaguzi. Kibarua cha pili ni kusafisha wagombea ubunge wanaotumia mlungula kuwanunua wanachama kwenye kura za maoni. Mwanzo huu unaonesha they can do it!!
 



hata wakiwa 20 bob ,,,,,,, CCM itaendelea kuongoza hii nchi ... mgombea yeyote atakaye pitishwa njia ya ikulu nyeupe
Njia ya ikulu itakua nyeupe ka kutakua na goal la mikono( in Napes voice). Mwaka uu mgumu tofauti na zamani
 
Ukawa nao badala ya kuchagua mtu anayekubalika nchi nzima bara na visiwani wanatuletea Slaa. Nchi hii itaendelea kutawaliwa na fisiem daima maana hakuna namna nyingne.
 
Bado naamini magufuli atashinda na ndiye atapeperusha bendera ya ccm
 

My dream....hopefully
 
Sina imani na Migiro ka Ana aliboronga bunge sembuse u raisi wa nchi hauitaji majaribio.
 
Ukawa nao badala ya kuchagua mtu anayekubalika nchi nzima bara na visiwani wanatuletea Slaa. Nchi hii itaendelea kutawaliwa na fisiem daima maana hakuna namna nyingne.

Nani katika UKAWA anakubalika nchi nzima??
 

repost
 
Duh! Hiyo process ni ngumu sana kwenye kujumlisha nani rahisi kufanya makosa.
Kwanini isiwe kuchagua jina moja!?

haiwezekani maana lazima wapatikane watatu wenye kura nyingi kuwashinda hao wawili. kuchagua jina moja kunafanyika tu kwenye wagombea watatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…