Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
UKAWA hawana uwezo wakuliangusha jembe magufuli!
Mkuu nakumbuka ulitumia muda mwingi sana humu JF kumpa PROMO Edward Fisadi Lowassa.. Baada ya kukatwa sasa uko kwa Magufuli. Hehehehe.

Nape ana kazi sijui atapata jimbo gani la kugombea maana Magufuli lazima amtose, Membe kama angepita angemuachia jimbo kule kusini.
Kweli hili fagio kila mtu kaumia kivyake.
Teh teh teh
TeamLowassa wameshaswitch team kuelekea Magufuli. Mmesahau juzi tu katununulia boti bovu la 7 billion.
Aisee pesa iliyotumika kwenye kambi ya lowasa walahi wangejenga zahanati kila kona ya kijiji katika nchi hii.
I give you my word. Magufuli hapiti NEC. Hapo ni Membe na Asha Rose
TeamLowassa wameshaswitch team kuelekea Magufuli. Mmesahau juzi tu katununulia boti bovu la 7 billion.
kwaheri Membe kwenye urais,rudi jimboni kwako
Hizo zilikuwa hesabu kama angechaguliwa kuwa mgombea wa urais.Membe atamuachia jimbo la mtama..ana pumzika ubunge..
Kule jimboni alishaaga kuwa atarudi kule kivingine, lakini wanasiasa wetu hawakawii kupita u turn ya bila aibu.
Tanganyika iwe na rais mwanamke mzanzibari!?