Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kwahiyo lowasa inakuwaje sasa.atarudi monduli kuchukua fomu ya ubunge au ataendelea Na biashara zake.?
 

Mkuu nakumbuka ulitumia muda mwingi sana humu JF kumpa PROMO Edward Fisadi Lowassa.. Baada ya kukatwa sasa uko kwa Magufuli. Hehehehe.




kuanzia kesho utaona ID nyingi mpya....wengi team lowasa hawatatumia ID hizi....namtafuta MR.PRESIDENT tangu jana ametoweka humu
 
Last edited by a moderator:
Nape ana kazi sijui atapata jimbo gani la kugombea maana Magufuli lazima amtose, Membe kama angepita angemuachia jimbo kule kusini.

Kweli hili fagio kila mtu kaumia kivyake.

Teh teh teh

Membe atamuachia jimbo la mtama..ana pumzika ubunge..
 
Aisee pesa iliyotumika kwenye kambi ya lowasa walahi wangejenga zahanati kila kona ya kijiji katika nchi hii.
 

TeamLowassa wameshaswitch team kuelekea Magufuli. Mmesahau juzi tu katununulia boti bovu la 7 billion.


kwani wanakumbuka hata...kuna mmoja amesema yaani wote hawa tatu bora ni wazuri sana wanafaa...akaulizwa swali unamfahamu vipi bi Amina Salumu...haloooo amejiuma uma huyo acha kabisa..
 

TeamLowassa wameshaswitch team kuelekea Magufuli. Mmesahau juzi tu katununulia boti bovu la 7 billion.

Bavicha mnachekesha sana ...tuna msubiri Padri Slaa tumuoneshe kazi...!

Mtasoma namba...CCM mbele kwa mbele.-Cap Komba.
 
Wazungu wanasema TO MUCH KNOWLEDGE IS DANGEROUS.... Raisi inabidi awe msikivu wa kusikiliza na kupokea maoni ya wananchi na viongozi wanamzunguka unapochagua kiongozi ambaye anaona ye anajua kila kitu kama magufuli ni jambo la kuogopa sana katika nchi ni vyema kuteua raisi tegemezi ambaye atakuwa msikivu katika nchi na kufanya maamuzi yake...


I am not 100% supporting magufuli kuwa raisi ila I am supporting women Mara mia awe raisi..Nina sababu mia za kupinga magufuli kuwa raisi
 
Back
Top Bottom