Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Huyu aliyeuza nyumba za Serikali kama karanga? Kama vile hakutosheka akamgawia na hawara yake??

Suburi uone aisee UKAWA tunaenda kushinda asubuhi saa mbili...!!!

BACK TANGANYIKA

Mkumbushe Padri Slaa kuwa Case yake ya kuiba mke wa mtu itaanza kuunguruma tarehe 20

cc Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Kiroho safi tunawakaribisha katika SAFARI YA USHINDI WA KIMYAKIMYA, Watanzania wote hususani wafuasi wawagombea wote wa Urais kupitia CCM waliokatwa kupisha safari ya kimyakimya na ushindi mzito

WanaCCM wote karibuni sana katika safiri ya kimyakimya ya ushindi kuelekea Ikulu October 2015, hakuna wa kuzuia safari ya Kimyakimya sasa Ukawa wana haha
 
kwani wanakumbuka hata...kuna mmoja amesema yaani wote hawa tatu bora ni wazuri sana wanafaa...akaulizwa swali unamfahamu vipi bi Amina Salumu...haloooo amejiuma uma huyo acha kabisa..

Wakuzugia huyo
 
Kweli CCM baba lao star tv,Itv ,TBc,Clouds wote wako hewani!

Nasikia UKAWA kumetokea vurugu kikaoni!
 
Nape ana kazi sijui atapata jimbo gani la kugombea maana Magufuli lazima amtose kumpa nafasi ndani ya chama, Membe kama angepita angemuachia jimbo kule kusini.

Kweli hili fagio kila mtu kaumia kivyake.

Teh teh teh

si membe aliaga kabsa jimboni kwake?..hata akimwagwa hagombei..alikuwa na uhakika leo.. ndo hivyo tena..
 
Magufuli kura 290, Balozi Amina kura 284, Dk. Migiro kura 280, Makamba kura 124 na Membe kura 120
 
Mkimwaga mboga tunamwaga ugali

ndio usemi wa sasa hapa.dodoma..wajumbe wameapa kumpa.amina s ali labda awahi mbele ya haki

yuko hai hiyo ndie.wanamchagua...sty tuned

Mkimpitisha huyo mama UKAWA wanamchukua Magufuli kiulaiiiiini!!!! Afu msikilizie kichapochake
 
Wazungu wanasema TO MUCH KNOWLEDGE IS DANGEROUS.... Raisi inabidi awe msikivu wa kusikiliza na kupokea maoni ya wananchi na viongozi wanamzunguka unapochagua kiongozi ambaye anaona ye anajua kila kitu kama magufuli ni jambo la kuogopa sana katika nchi ni vyema kuteua raisi tegemezi ambaye atakuwa msikivu katika nchi na kufanya maamuzi yake...


I am not 100% supporting magufuli kuwa raisi ila I am supporting women Mara mia awe raisi..Nina sababu mia za kupinga magufuli kuwa raisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…