Yaani hadi anatia huruma. Anafikiria jinsi yamkurudisha fedha za watu alizotafunaLowasa namwona ukumbi mpaka huruma maskini
Nimemuona daktari wake ameruhusiwa kuingia ukumbiniHuko nje kuna ambulance za kutosha?
Ccm watampa hata ubalozi wa marekaniYaani hadi anatia huruma. Anafikiria jinsi yamkurudisha fedha za watu alizotafuna
Jk ameenda kumfariji Lowasa.Naona Jk na Lowasa wameongea kidogo hakika CCM ni baba lao!
Ya nini fisadi kama huyu kumpa ubalozi? Abaki hapa nchini aendeleze vikoba vyakeCcm watampa hata ubalozi wa marekani
Naona ule wimbo wa tunaimani na Lowasa haujaimbwa tena kwenye mkutano MkuuJk ameenda kumfariji Lowasa.
Nimeona mtu mmoja kashika tochi wanaogopa umeme utakatwa????
Ya nini fisadi kama huyu kumpa ubalozi? Abaki hapa nchini aendeleze vikoba vyake
Lowasa haamini kama amekatwaWanamlika Lowasa hawaamini kama ccm ndo inakufa
Masikini Pinda, hajakatiza hata top 5!
Nimemuona anashangaa shangaa tu.
Hakika inatia hurumaAna miliki vicoba ?zile pesa alizotumia atarudishaji?
Lowasa haamini kama amekatwa