Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Naona Jk na Lowasa wameongea kidogo hakika CCM ni baba lao!
 
wale kina mama wagombea hawaonekani kama anavyoonekana magufuli..
 
After watch this foto down u'll come to support this candidate to be:...
 
Arusha bado wana kinyongo na kukatwa mtu wao. Waende wakajiunge na UKAWA
 
Attachments

  • 1436642477692.jpg
    1436642477692.jpg
    62 KB · Views: 194
Dr slaa ukawa hata hawasikiki tena wamefunikwa na ccm! ccm wamesha chukua nchi hamna jinsi
 
Back
Top Bottom